Its just a stupid male desire, but we can't deny its there

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Kwa mfano sasa, mwanaume unammendea dada fulani. Huna lolote kuhusu future naye zaidi ya kutaka tu kum... then
usepe zako ( :smiling: ).

Ofkoz kwenye negotiation, follow up na usumbufu na yeye unajitahidi kuficha true intentions (wengine ni wasanii wazuri sana hapa).

Bidada naye kabla hatujadiscuss whether anaelewa unahitaji kipi toka kwake ama kadanganyika.

Unakuta na yeye labda anataka m.... then kila mtu asepe na anajua fika maneno yako usanii mtupu.

Sasa ili lengo lifikiwe anabana kimtindo kisha baadae anadanganyika/ anajifanya kudanganyika.....
Sasa kiukweli naona kubana kumepungua sana nowadays.

Hata zile sifa za wanaume kuuza maneno mpaka mdada anakubali hazipo tena. (To be honest naona inavutia sana ukibaniwaa kisha baadae ndo upewe)

Hata huku kwenye ndoa naona kama tunazoea na kuboreka kwa sababu ya , kwanza kumuona mkeo chiu mara nyingi kunapunguza mvuto, kisha unakuta whenever ukitaka unapata bila jasho lolote.

Some men nadhani wanarudi tena kupambana huko michepukoni ili kuupata tena ule usumbufu na kuzungushana na ile hisia ya ushindi baada ya kupata. Wengine wanavumilia njia kuu na sexlife ya ndoa inapoa.

Its just a stupid male desire, but we can't deny its there
(Ndo nliyokuwa nayawaza leo on the way kwenda kulijenga taifa letu )
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Stupidity kwenye kutongoza au kuchepuka?????!!!
Mkuu hivi unadhani mwanaume anapokuwa analeta sanaa na mabobish mwanamke anakuwa tabula rasa???!!!

Wengi huwa wanakuachia stage utoe shoo ye aburudike tu ila wengi wanaume tunajiona wajaaaanja!!!!!
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
ha haaaa, ndo maana kuna siku nilileta mada hapa ya kuvaa tule tugauni twa kulalia watu hawakunielewa.....
Kuna mtu natamani apite hapa ili ajue kwa nini naendelea kumzungushaga ingawa tunaishi wote kwa miaka 16 sasa..... kuzungusha kuna raha yake...... siyo sababu alishailipia mahari basi anapata tu kama kama ilivyokuwa lazima kula milo mitatu kwa siku!
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Wanawake baada ya kwenda shule wamegundua sex is good na ina faida tele kwao...sasa hawasumbui sana cha ajabu ni wanaume ndo tunalalamika eti wanaachia sana...sasa wafanyaje?
ha haaaa, huwezi kum-satisfy binadamu.......
kila kitu anakilalamikia, lol!
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Stupidity kwenye kutongoza au kuchepuka?????!!!
Mkuu hivi unadhani mwanaume anapokuwa analeta sanaa na mabobish mwanamke anakuwa tabula rasa???!!!

Wengi huwa wanakuachia stage utoe shoo ye aburudike tu ila wengi wanaume tunajiona wajaaaanja!!!!!
Sio kutongoza mkuu,
Kutaka ubaniwe kwanza wakati ukipewa shida yako ndio sawa.
Mwingine akikubaliwa siku hiyohiyo anakimbia
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
ha haaaa, ndo maana kuna siku nilileta mada hapa ya kuvaa tule tugauni twa kulalia watu hawakunielewa.....
Kuna mtu natamani apite hapa ili ajue kwa nini naendelea kumzungushaga ingawa tunaishi wote kwa miaka 16 sasa..... kuzungusha kuna raha yake...... siyo sababu alishailipia mahari basi anapata tu kama kama ilivyokuwa lazima kula milo mitatu kwa siku!

Life bila challenges kiukweli litaboa.... Binadamu tuna tabia ya kutake vitu for granted vikishakuwa rahisi kuja.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Sio kutongoza mkuu,
Kutaka ubaniwe kwanza wakati ukipewa shida yako ndio sawa.
Mwingine akikubaliwa siku hiyohiyo anakimbia

Inategemea sasa unataka nini kipindi hiko!!!!
We umeenda kupiga raha huko majumba ya giza umetamani nyama sasa hapa ukizungushwa wakati unachotaka ni kutapika si unakereka!!!!!

Au unataka mtu wa ku spend naye time ili mambo yakikaa sawa na tabia zikiendana uoe wakati hue mambo ya muonekano usharidhika halafu umetoka naye dinner tu kwenye kumuaga na hug kila utakalo ye kwake poa tu yaani day one mpaka ngozi umegonga hapo maswali yanakauka???!!!!
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,268
2,000
ha haaaa, ndo maana kuna siku nilileta mada hapa ya kuvaa tule tugauni twa kulalia watu hawakunielewa.....
Kuna mtu natamani apite hapa ili ajue kwa nini naendelea kumzungushaga ingawa tunaishi wote kwa miaka 16 sasa..... kuzungusha kuna raha yake...... siyo sababu alishailipia mahari basi anapata tu kama kama ilivyokuwa lazima kula milo mitatu kwa siku!

Umenithibitishia jambo ......

Lakini wacha nilimezee tu!
 
Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,266
2,000
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,072
2,000
Kweli kubaniwa ni vizuri kiasi chake, lakini sasa hao wabanaji sasa ni wajasilia mwili.....
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
kwani hata nikikusumbua weeeeeee mwishoni si nitakupa vile vile...........

Weeee ishia hapo hapo! !!!!!

Usiwe msumbufu ila uoneshe uwezo wa kuchuja maombi na kuweza kuongoza mijadala inayohusiana na ombi lililoletwa yaani rationale, significance na kama hayo sio buruza twende asee utadharaulika my dada!!!!!!
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,072
2,000
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"

kaka mkubwa ina maana pia nikutaka kuharibu skills zako za kutongoza zipo hai...
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"

Tunaita kuweka akiba ya maneno!!!!!!!
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"
ha haaaa, huwa nawapenda saaana wanaume ambao na-hang nao, mtu kwa mtu, halafu hanitongozi. Nachukulia kuwa ananiheshimu sana.
 
PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,996
2,000
Kuna ile iman kwamba baadhi yetu tunachepuka ili kutest makali ya kutongoza....just out of curiousity tu...hiyo stupidity sijui afu ujue mwananke na mwanaume wakikaa au kukutana mazingira hatarishi inategemea mtongozane ss usipofanya ivo kesho yake mtaani "anakutangazaaaa"

Pia uwezekano wa serious commitment kwa mwanamke toka kwa mwanaume huweza kuongezeka pindi huyo mwanamke anapo banabana kwa sababu udadisi utamjaa mwanaume.
Anajiuliza yani ni kwanini akatae? Kuna nini? Ana nini? Kama ndo mwanaume yuko kwenye ndoa basi anaanza kuamini makali yake ya kutongoza yameisha na atakomaaa mpaka ajiaminishe kuwa bado yumo kwa kukubaliwa.

Nadhani kuna zaidi ya kutaka na (kupewa ama kukataliwa) kwenye kutongoza, kuna hisia nyingi tofauti
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom