Wanaume kutongoza hadi kutishia amani ya nchi nini kimewakuta?

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
382
250
WanaJF hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanatongoza sana?Watu wanatongoza kama wanalipwa?Nini kimetokea mbona haya mambo hayakuwepo zamani?Yani sasa hivi sio mke wa mtu sio mtoto watu wanaomba kuna nini?Na hii imewakumba wanaume wote hadi wazee nao siku hizi wana hamu hatari mpaka aibu yapi yamewasibu au vyakula?Yani mtu hadi unaogopa Mkeo mtaani katongozwa na wanaume asilimia 90,kazini hivyohivyo,Kwenye nyumba za ibada watu wanaenda kutafuta wa kutongoza si balaa hili?Nini hii jamani!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Aisee mimi natongoza kila siku wapya na kuwalamba.acha wivu kwa mkeo na wewe tongoza tu.kazi hamna mambo ni kuonjana tu mkuu.
 
Kichoi

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
212
195
Kasi ya kutongoza imeongezeka cozi ya tamaa. Watu wake kwa waume wanahamu ya kuona au kujia nanii yake ikoje, inafaneneje kubwa au ndogo!
Raha zaidi
 
mbuyula

JF-Expert Member
Feb 2, 2014
391
0
WanaJF hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanatongoza sana?Watu wanatongoza kama wanalipwa?Nini kimetokea mbona haya mambo hayakuwepo zamani?Yani sasa hivi sio mke wa mtu sio mtoto watu wanaomba kuna nini?Na hii imewakumba wanaume wote hadi wazee nao siku hizi wana hamu hatari mpaka aibu yapi yamewasibu au vyakula?Yani mtu hadi unaogopa Mkeo mtaani katongozwa na wanaume asilimia 90,kazini hivyohivyo,Kwenye nyumba za ibada watu wanaenda kutafuta wa kutongoza si balaa hili?Nini hii jamani!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

master legendary we ni ke au me? kama ke nimetokea kukupenda moyo wangu umezama kwako.naomba unipe nafasi hata wiki moja tu. Nikuonyeshe jinsi ninavokupenda, naumia sana juu yako. Nionee huruma mwenzio, naapa hutajuta kuwa na mimi. Please!
 
Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
382
250
master legendary we ni ke au me? kama ke nimetokea kukupenda moyo wangu umezama kwako.naomba unipe nafasi hata wiki moja tu. Nikuonyeshe jinsi ninavokupenda, naumia sana juu yako. Nionee huruma mwenzio, naapa hutajuta kuwa na mimi. Please!

Hahahahaaa!Lol serikali isipochukua hatua huu utongozaji kitakachofuatia ni ubakaji tu naogopa!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Hahahahaaa!Lol serikali isipochukua hatua huu utongozaji kitakachofuatia ni ubakaji tu naogopa!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Aaah kumbe wewe ni malkia! Una maneno matamu japo uko mbali ila napata mtikisiko wa moyo kwa kutamani kukuona japo nikupongeze kwa busu lainii ili moyo wangu uridhike.
 
mankachara

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
5,882
2,000
Nimeowa mkuu? Huyo wako ulimkuta na bikra?? Mwache alambwe na wewe lamba ila msisitizie alambwe na condoms na wewe ulambe na kondoms.

Shauri zako kama wewe walamba na kondom basi wenzio hawatumii kondom na inaonesha unalea watoto sio wako

Natania tu mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom