Wanawake kazi yenu kutuliwaza

Wanawake kazi yenu kutuliwaza

big IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
494
Reaction score
903
Mungu alimwangalia Adamu akaona ni mpweke akasema sio vizuri awe mpweke,ndipo akampa usingizi mzito kisha akamkata ubavu wake wa kushoto akamwumba Hawa ili amliwaze,sasa nashangaa saivi badala ya kutuliwaza wanatuliza,gashi hata kama anakupenda atakuzingua mpaka ukome,wanatakiwa wawe wanatutongoza sisi kazi yetu kupiga mzigo tu,ajabu wengine wanatuuzia yani mpaka uhonge laki ndo ugonge..aaaah jamani badilikeni wanaume tule vyetu kiulaini..alaaah!
 
Eeeehn ndio kazi yao kutuliwaza tu, wao watumie vyetu nasi tuwatumie miili yao lainiiii, full kujimwayamwaya hakuna ubishi
 
Mungu alimwangalia Adamu akaona ni mpweke akasema sio vizuri awe mpweke,ndipo akampa usingizi mzito kisha akamkata ubavu wake wa kushoto akamwumba Hawa ili amliwaze,sasa nashangaa saivi badala ya kutuliwaza wanatuliza,gashi hata kama anakupenda atakuzingua mpaka ukome,wanatakiwa wawe wanatutongoza sisi kazi yetu kupiga mzigo tu,ajabu wengine wanatuuzia yani mpaka uhonge laki ndo ugonge..aaaah jamani badilikeni wanaume tule vyetu kiulaini..alaaah!

ndo mana hawaolewi siku hizi
 
Mwanamke ametoka katika mbavu za wanaume na wala si katika nyayo zake ili amkanyage, wala katika kichwa ili amtawale lakini ametoka ubavuni mwake ili awe mwenziwe na amlinde na ampende tahadhali kumuonea mwanamke
 
Mleta mada huna tofauti na aliyeimba maharage yanaungulia,ndani maji nimeishia,sijui aliwaza nini? Yaani kabisa Mungu alimuumba mke awe anachochea maharage? I wonder,by the way wajibu wa mke kwa mumewe una mapana na marefu yake!
 
Back
Top Bottom