Kiburi cha mali..!

Kiburi cha mali..!

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
457
Reaction score
939
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia babayake.
"SEMA NIKULIPE NINI ILI TUSIJUANE TENA"

Baba akamjibu kwa HEKIMA.
" Mwanangu nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya maziwa mke wangu"

1.Je ungekuwa wewe ndo baba ungetaka ulipwe nini?

2.mzazi huyo alimaanisha nini?

3.Na je umejifunza nini mwanaMM?

Karibu ndugu.
 
Fanya utakavyofanya huwezi kuwalipa wazazi, kijana sio kosa lake. Umri na ugeni wa kukamata pesa umechangia
 
Huwezi kuwalipa wazazi wako waliyokufanyia,KAMWE! Huo ni ulimbukeni wa pesa tuu...
 
Back
Top Bottom