Dada zangu hii sio sahihi

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
0
Napenda niwashauri dada zangu hii tabia inayokuwa kwa kasi ya kupenda kugawa butty sio nzuri.wengi mnajidanganya kuwa ukimpa mwanaume huduma hiyo basi hato kuacha.ni fikra potofu kabisa kwani kwa sasa wengi wenu ndio tabia mliyo nayo na kiukweli ina madhara makubwa sana.na daima mwanaume hauwezi kumdhibiti kwa kumpa butty.Mapenzi ya dhati yenye kila chembe ya uwazi na kutokuwa tegemezi 100% inasaidia.Mbadilike na wale ambao hamjaanza hii tabia kamwe usijaribu.nyie ambao butty zipo wazi badilikeni licha ya kuwa ni vigumu sana kuacha kwani hiyo ni sawa na mtumiaji wa madawa ya kulevya ukiguswa mbele na nyuma panawasha.
 

angelita

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
3,015
2,000
Naona umekazana na watoaji mbona wapokeaji huwasemi?????? Au wanajipa wenyewe?????
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,630
2,000
Acha kutuzibia risk tusipewe mkuu,kama kuna sehem umenyimwa mezea tu...wacha tuendelee kupewa wenzio.
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Mwanamke sio chanzo cha tabia hiyo mbaya, tafuta chanzo kwanza ndio uanzie hapo


Nope !

Tusiangalie chanzo !
At the end anaebaki wazi ni mwanamke ! Bad enough anae mharibu sio wake wandoa !

All holes zinakuwa opened !
You need to be educated first !
Japokuwa utaendelea kupinga ila deep inside you understand what am say !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom