Mapenzi yanauma kuliko kufukuzwa kazi, au kufanya kazi alafu ukazulumiwa, nisaidieni wana jf pls

under the same sun

Senior Member
Jan 15, 2014
160
0
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni
 
Valentina

JF-Expert Member
Oct 12, 2013
20,903
2,000
Ni kweli unambana sana? Huo utengano niwewe ni wewe umeanza kuutaka au ni yeye anakushurutisha? Na vipi familia pande zote mbili wanafahamu jambo hili?
 
Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
6,409
2,000
Mi naona bora ufe tu, unajua mapenzi ndio kila kitu mkuu.

Bila mapenzi hamna maisha.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,944
2,000
Minadhani mapenzi nikitu kinacho kuwa ndani ya nafsi, pia ni wewe mwenyewe ndie mwenye uwezo wa kuamua nini au maamuzi gani ufanye kwasabubu nwewe ndie ujuwae uthamani na mapendo ulonayo kwa yule umpendae. Binafsi huwa siamini kwa wale wote wanao jaribu kubadilishwa mawazo kwa kushauriwa mambo yanayohusu mapenzi.
Nakishauri yafuatayo: kula vizuri, jipende, fanya self outing, ongeza bidii katika sala, jaribu kujipa muda wa kutokumuwaza huyo mwenza, jichanganye na marafiki lakini epuka kunywa pombe hasa kipindi hiki. Ukiyafanya hayo utakua umejipa muda wa kufanya maamuzi sahihi na utakalo ona linakufaa kwa hili linalo kusibu, na usipojipa muda wa kutafakari utakutana na ushauri tofauti-tofauti utakao pelekea wewe kuchanganyikiwa zaidi.
PLEASE TAKE YOUR TIME
 
String Theory

Senior Member
Jan 23, 2014
155
195
Time Heals - Kuwa mvumilivu, lipe muda swala lako utapata jibu. Wengi wetu tumekuwa tukifanya maamuzi mabaya kwakuwa tunataka majibu ya haraka. Lipe muda jambo lako wiki, mwezi, mwaka. na wakati huo mshirikishe Mungu wako. At the same time enjoy your life as much as you can. Kumbuka upendo wa kweli hutoka katika nafsi huru, kwahiyo jenga tabia ya kumuamini mwenzio naye atakupenda baada ya muda. hataweza kukupenda kama anahisi humuamini. Na kama hautaweza kumuamini basi ufahamu kabisa sio rahisi mkafikia mapenzi ya kweli.
 
Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Kaa tena utafakari faida na hasara za kuachana na mkeo kwa kuzingatia zaidi athari zitakazo wakumba watoto baada ya nyinyi kuacha kisha fanya maamuzi.
 
Kyalow

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,286
2,000
Mungu hapendi kutengana.....save ndoa yako ili watoto wako wapate mapenzi yote ya baba na mama,afu kitu kingine huo ni upepo utapita tuu.....unapoona watu wamekaa miaka 20,katika ndoa usifikiri waliishi maisha ya tamthilia za Star TV,sawa kijana?
 
kibol

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
4,446
2,000
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni

Uhuru bila mipaka ni vurugu mechi,msikilize ni Uhuru gani huo anaouhitaji then ndio ufanye maamuzi ila wazo la utengano siliafikifi hata kidogo cuz naamin kila kitu kinazungumzika ikiwa kuna utayari wa pande mbili au zaidi zinazohusika.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Uhuru ni nini hapo nyumbani kwenu????!!!!
Wazo la kutengana kalianza nani????!!!
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
Shirikisha wazazi wa pande zote na wakuu wako wa dini
Jitahid sana kufika muafaka ambao utakupa peace of ur heart
UkimlaZimisha ubaki nae kama kashafanya maamuzi ya kukuacha atajakuumiza had siku ya mwisho
Pole sana
 
bitunyi

Member
May 20, 2014
38
0
Mungu hapendi
kutengana.....save ndoa yako ili watoto wako wapate mapenzi yote ya baba
na mama,afu kitu kingine huo ni upepo utapita tuu.....unapoona watu
wamekaa miaka 20,katika ndoa usifikiri waliishi maisha ya tamthilia za
Star TV,sawa kijana?

Kwel kabisa mkuu,kuna wengine wanapigana kabisa mbele ya watoto wao na wanakubaliana kuachana na watoto wanasikia lakini kesho yao wanakua marafiki na ndoa inaendelea.Nobody is perfect,talk 2 her nicely mkiwa room.Hopeful mtaelewana
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,406
2,000
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni

Hujatueleza kiini cha tatizo hapo hata kukushauri inakuwa ngumu, jiulize kama wewe ulimkosea mwombe msamaha yaishe kama yeye anamakosa kamshitaki kwa wazazi wake watasuluhisha.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
tafuta wazee wawaweke kikao kila moja atoe dukuduku lake

Hebu wapumzisheni wastaafu watumie muda wao kwa ibada,kupumzika na mazoezi!!!!!!
Yaani jambo kama hili la "uhuru" wa mke na mume wanashindwa kujadiliana????!!!!
Watalea watoto hao kweli na changamoto hizi??????!!!!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Hujatueleza kiini cha tatizo hapo hata kukushauri inakuwa ngumu, jiulize kama wewe ulimkosea mwombe msamaha yaishe kama yeye anamakosa kamshitaki kwa wazazi wake watasuluhisha.

Yaaani nikisikia mtu anasema kushitaki mke kwao kwa kweli huwa sielewi kabisa!!!!!!
 
Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,699
2,000
Hebu wapumzisheni wastaafu watumie muda wao kwa ibada,kupumzika na mazoezi!!!!!!
Yaani jambo kama hili la "uhuru" wa mke na mume wanashindwa kujadiliana????!!!!
Watalea watoto hao kweli na changamoto hizi??????!!!!!

Ndoa za dot.com wanaoana bila kuchunguzana vya kutosha baada ya siku kila mtu anaanza kutapatapa mi nataka hiki au kile bila kujali kuna watoto
itabidi wazee wahusike kwa faida ya hao watoto
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Ndoa za dot.com wanaoana bila kuchunguzana vya kutosha baada ya siku kila mtu anaanza kutapatapa mi nataka hiki au kile bila kujali kuna watoto
itabidi wazee wahusike kwa faida ya hao watoto

Kuchunguzana kwenye maisha ni jambo lisiloisha sababu binadamu anabadilika kutokana na mazingira sasa utamchunga mtu utamuweza kweli????!!!!

Halafu hili la kusema watu wakae pamoja sababu ya watoto mi huwa sikubaliani nalo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom