...by all means bakini njia kuu

...by all means bakini njia kuu

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,996
Reaction score
2,017
Saa nyingine unakaa na kuona umeshakuwa mkubwa sasa na kujiona una busara (@least we lie to ourselves to make us feel better),
unawaangalia wadogo zako na kuwashauri especially kuhusu kubaki njia kuu (...by all means bakini njia kuu kwa kweli).

Ulifuata ushauri mzuri wa wakuu, wazazi na pia kutumia busara zako kupata mwenzi bora. Na ukweli wa Mungu ni kwamba mwezi wako ni "one of the best there is"(Glory to God). Ana asilimia kubwa ya sifa nzuri na mnaendana, na hungetamani kuwa pengine.
Lakini sasa bado asilimia kubwa ya watu wa kwenye hizi couple wanachepuka...(Let me remind you that, its not always because you are not loved when your spouse cheats. Most are just desires of moments!). Sasa unakaa unavuta kumbukumbu ya "experiences" ulizopata katika kuwa na watu tofauti tofauti.

  • Wengine kiukweli ilikuwa tu mapito na uko radhi yalipita.
  • Wengine walikuchekesha...(Kama there was this time nilikuwa na mdada wa kabila fulani, ile tunaanza tu nikasikia ,"yethuu na maria", dah nilijikuta nacheka mpaka nikasahau tunafanya nini) . Mwingine unamfunua sketi anakuangalia seriously anasema "ntakupigaa", sasa unajiuliza kwani tumekuja hapa kupigana?
  • Kundi jingine sasa ndio hasa asilimia yenye impact katika uzoefu wako. Kuna hawa watu ni wazuri sana kitandani mpaka siku ya kwanza tu ukatamani muendelee nao milele (Jamani kuna watu ni noma kitandani usiambiwe. There is a lady hadi kesho naomba tusikutane manake akitaka sijui itakuwaje?), sema tu ndio tukirudi mwanzo wa mada kumpata mwenzi bora ni zaidi ya kigezo kimoja.... Na kama ndio ulitoka njia kuu ukakutana na huyu mtu! hatari kabisa kwa mchepuko kujibinafsishia trafiki ya njia kuu as if njia kuu ipo kwenye matengenezo!

Ushauri wangu ni mbaki njia kuu tu michepukoni si UKIMWI tu ndio unapatikana, Vingine ni vivid sret tu ze mein wei!
 
Kuchepuka si tabia ya mtu tena inajengwa kutokana na aina ya maisha ambayo mtu amepitia hadi kumpata mwenza wake.
 
WABAKI NJIA KUU KWANI WAO MALORI??? Na foleni yote bora kuchepuka!

I dont know about you guys but life is too short not to have enough fun!

I am only responsbile for what i have written not what you understand from reading it!
 
WABAKI NJIA KUU KWANI WAO MALORI??? Na foleni yote bora kuchepuka!

I dont know about you guys but life is too short not to have enough fun!

Ko kuchepuka ndio ku have fun!!!!!!!!!!!!

Michepuko sio dili lara 1 baki njia kuu lol
 
WABAKI NJIA KUU KWANI WAO MALORI??? Na foleni yote bora kuchepuka!

I dont know about you guys but life is too short not to have enough fun!

There's short life when you have fun all time !!
 
Inaonekana hauna furaha na ndoa yako. Nyuzi zako nyingi ni kama za kujuta hivi. Just my observation. Ukiamua kuchepuka, chepuka tu usitafute justification yoyote.
 
Hata mimi naisi jamaa kakosea mahali sasa wanasema ukikosea kujenga nyumba tutakusaidia kurekebisha ila ukikosea kuoa mke imekula kwako mpe iyo PetCash.
Inaonekana hauna furaha na ndoa yako. Nyuzi zako nyingi ni kama za kujuta hivi. Just my observation. Ukiamua kuchepuka, chepuka tu usitafute justification yoyote.
 
Inaonekana hauna furaha na ndoa yako. Nyuzi zako nyingi ni kama za kujuta hivi. Just my observation. Ukiamua kuchepuka, chepuka tu usitafute justification yoyote.

Kuna uzi mmoja alianzisha siku zimepita alifanya jambo sio zuri kwenye ndoa yake may be he is still

feeling guilty......
 
Kuna uzi mmoja alianzisha siku zimepita alifanya jambo sio zuri kwenye ndoa yake may be he is still

feeling guilty......

Ukimfuatilia, ni tangu uchumba ana issues. Nakumbuka aliharibu alivyokuwa safari ya kikazi sijui kama kaharibu tena.

Ukweli unabaki kuna wanaume ambao hawachepuki hata wakiingiwa na tamaa, ile ahadi na penzi lá mkewe vinatosha kumbakisha njia kuu kuliko hata vitisho butu vya ukimwi.
 
WABAKI NJIA KUU KWANI WAO MALORI??? Na foleni yote bora kuchepuka!

I dont know about you guys but life is too short not to have enough fun!

I am only responsbile for what i have written not what you understand from reading it!

Be careful with your words..some people can use them like a bible
 
Be careful with your words..some people can use them like a bible
I insist IM ONLY RESPONSIBLE FOR WHAT I HAVW WRITTEN ONLY NOT THE AFTERMATH WHATSOEVER!?

As a note of caution JF IS A JUNGLE TREAD CAREFULLY,!
 
I insist IM ONLY RESPONSIBLE FOR WHAT I HAVW WRITTEN ONLY NOT THE AFTERMATH WHATSOEVER!?

As a note of caution JF IS A JUNGLE TREAD CAREFULLY,!

If you don't mind..I am curious about your signature...any story behind it?
 
Back
Top Bottom