Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana JF jamani mwenzenu namchumba mkinga hawa kiasili wako vip? maana baadhi ya makabila yanavitu na tamaduni zinazosumbua kwenye familia.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana Jf nna mke mzuri sana,elimu ya kidato cha nne,ila hana akili hata kidogo jamani...Ana matatizo yafuatayo. 1.HANIAMINI,pamoja na kuwahi kula kiapo kwa SHEHE kuwa sina mchepuko,sasa hiv...
0 Reactions
106 Replies
12K Views
habarin wadau, polen wale waliozan wameugua dengue. here we go.... nakumbuka sekondar kipindi cha break tulikuwa tunapiga sana stor za madem. stor zilizokuwa zinanivutia mara huyu qkisema...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
Marafiki toka Dar wakushea mawazo yakimaisha 0763978461
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Typical women's trait!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
kwakweli bata ukimchunguza sanaaa huwezi kumla jamani Duh....oooh mimi nataka kumjua x wa bwana angu(akusaidie nini?) oooh )wanaume )...oooh baby ulikuwa na mabwana wangapi kabla yangu?..... teh...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
baada ya kumaliza kozi ya ualimu, nikapata kazi ya kufundisha tuition mtaani kwetu nyumbani kwa mwanajeshi mmoja mkuria mkorofi sana nikafanya kazi yangu kwa uadilifu mkubwa mno, lakini...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Hii movie bana,,nshaingalia zaidi ya mara 2 ila nkii play tu nashindwaga ku skip even a single part
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kati ya tarehe 22-24 mwezi huu wa tano watanzania tumeshuhudia tukio ambalo ni nadra sana kutokea sio Afrika tu bali ni dunia nzima. Mpenzi wa baba ameachwa kwenye mataa na aliyekuwa awe mme...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ninaamini wana jamvi wenzangu kwamba katika familia zenu basi mme bahatika kuwa na wazee yaani kuwa na watu waliozidi umri zaid ya miaka 60. Sasa leo hebu tusemezane yaani tupeane experience nyie...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari za saa hizi waungwana Maadili ni misingi ambayo jamii imejijenga na kujiwekea ya kwamba yanakubalika kwenye jumuiya ya wengi,ni yale matendo yaliyosahihi na yanayowapendezea weng.Wengi...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimefuta! Mods futeni hiii post!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pumzika kwa amani rafiki yangu Ndlamin Paul (RIP) nimepata msiba wa rafiki yangu huyu ambaye nilipata kuishi nae Nchini Afrika Kusini kwa miaka miwili na mwaka 2010 nilipata kuhudhuria harusi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
  • Closed
Wakuu nawasalimia, wengne muda huu mpo nyumbani, wengne mpo viwanjani tayari kula bata. Leo nitaufurahia ucku huu na mtoto mzur sana na maarufu mno ktk jukwaa la MMU ndani ya JF. Wengi wenu...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
  • Closed
Wadau MMU. Leo nimeona tushare historia zetu za mahusiano,je wewe mpaka unafika umri huo umesha do na watu wangapi na makabila mangapi hata Tz na nje ya Tz? Mimi naanza Idadi ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Equations! - This is the best I have read in a LONG time !!!! Equation1 Human = eat + sleep + work + enjoy Donkey = eat + sleep + work Therefore: Human = Donkey + enjoy Therefore...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu ana mpnz(demu) wake yupo mbeya na yeye yupo dsm, na wana miaka minne katika uhusiano wao. Juzi katika ongea yao kupitia simu, wakajituta wana ulizana, hivi ni kitu gani ulicho...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
mimi na mume wangu tunagombana sana sababu ya pesa na tuna mtoto kiasi kwamba tunataka kuachana naombeni ushauri jamani
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Askofu mmoja hivi karibuni aktokea Dar akielekea bara, akapita maeneo ya Mlandizi na kumuona Dada mzuri kasimama peke yake akisubiri WATEJA. Askofu akashindwa kuvumilia na kusimamisha gari na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eti ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani, Mimi binafsi haka kamstari kananiacha hoi licha ya kuniacha njia panda kwa kuwa sikaelewi dizaini..wazee wa mjini tafadhali mnijuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…