Kichuri hatari
Member
- May 13, 2014
- 25
- 2
Eti ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani, Mimi binafsi haka kamstari kananiacha hoi licha ya kuniacha njia panda kwa kuwa sikaelewi dizaini..wazee wa mjini tafadhali mnijuze.
Mie sikapendiiiiiiiiii.......Nawashangaa wanaume wenzangu wanaoufurahia huo wimbo!
Yameshakukuta mkuu??