gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Ninaamini wana jamvi wenzangu kwamba katika familia zenu basi mme bahatika kuwa na wazee yaani kuwa na watu waliozidi umri zaid ya miaka 60.
Sasa leo hebu tusemezane yaani tupeane experience nyie mnaleaje hao wazee nikimaanisha huduma mnawapatia wakiwa wapi kwa staili gani??
Ikumbukwe kwamba wazee wengi huwaga inafika kipindi wanabaki peke yao majumbani mwao kwa maana kwamba watoto wao wameshatoka ama kwenda makazini kwenye miji mingine ama hata wamefariki.