Sikudhani kama dogo angenikumbuka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,225
2,000
baada ya kumaliza kozi ya ualimu, nikapata kazi ya kufundisha tuition mtaani kwetu nyumbani kwa mwanajeshi mmoja mkuria mkorofi sana nikafanya kazi yangu kwa uadilifu mkubwa mno, lakini bwana shetani huyu mbaya sana, pale ndani alikuwepo binti mkubwa tu ndugu wa mwenye nyumba tukaanza mahusiano ya siri sana, siku moja baba na mama wakaenda harusini mimi nikapata mwanya wa kurudi pale hm, nikanyata mpaka chumbani kwa binti, tukaanza yetu bila kulock mlango ila tukiwa tumezima taa, ni katikati ya mhemko nikahisi nafinywa mgongoni kuangalia ni mtoto mdogo wa pale ndani, nikastuka mno nikasepa kimyakimya nikijua dogo hajanitambua zilipita siku kadha ndio likatokea hili, nikiwa nawafundisha watoto kwa bidii na wazazi wako sitting room yule dogo akaropoka 'baba leo nimemkumbuka aliyemlalia dada siku ile, ni yule pale ticha' kwanza kilipita kimya kikuu nikahisi ganzi kisha joto kali halafu jasho mpaka kwenye meno na kiu kali mno sikujua nafanya nini ila nilijikuta natimua mbio na kutokomea !!!
 
strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,787
2,000
ImageUploadedByJamiiForums1400872593.171864.jpg
 
charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,322
1,225
baada ya kumaliza kozi ya ualimu, nikapata kazi ya kufundisha tuition mtaani kwetu nyumbani kwa mwanajeshi mmoja mkuria mkorofi sana nikafanya kazi yangu kwa uadilifu mkubwa mno, lakini bwana shetani huyu mbaya sana, pale ndani alikuwepo binti mkubwa tu ndugu wa mwenye nyumba tukaanza mahusiano ya siri sana, siku moja baba na mama wakaenda harusini mimi nikapata mwanya wa kurudi pale hm, nikanyata mpaka chumbani kwa binti, tukaanza yetu bila kulock mlango ila tukiwa tumezima taa, ni katikati ya mhemko nikahisi nafinywa mgongoni kuangalia ni mtoto mdogo wa pale ndani, nikastuka mno nikasepa kimyakimya nikijua dogo hajanitambua zilipita siku kadha ndio likatokea hili, nikiwa nawafundi7ha watoto kwa bidii na wazazi wako sitting room yule dogo akaropoka 'baba leo nimemkumbuka aliyemlalia dada siku ile, ni yule pale ticha' kwanza kilipita kimya kikuu nikahisi ganzi kisha joto kali halafu jasho mpaka kwenye meno na kiu kali mno sikujua nafanya nini ila nilijikuta natimua mbio na kutokomea !!!

Kumbe ndio wewe? Ukasahau viatu ukabeba yebo za house girl,speed kama zimamoto.
 
muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
2,925
2,000
baada ya kumaliza kozi ya ualimu, nikapata kazi ya kufundisha tuition mtaani kwetu nyumbani kwa mwanajeshi mmoja mkuria mkorofi sana nikafanya kazi yangu kwa uadilifu mkubwa mno, lakini bwana shetani huyu mbaya sana, pale ndani alikuwepo binti mkubwa tu ndugu wa mwenye nyumba tukaanza mahusiano ya siri sana, siku moja baba na mama wakaenda harusini mimi nikapata mwanya wa kurudi pale hm, nikanyata mpaka chumbani kwa binti, tukaanza yetu bila kulock mlango ila tukiwa tumezima taa, ni katikati ya mhemko nikahisi nafinywa mgongoni kuangalia ni mtoto mdogo wa pale ndani, nikastuka mno nikasepa kimyakimya nikijua dogo hajanitambua zilipita siku kadha ndio likatokea hili, nikiwa nawafundisha watoto kwa bidii na wazazi wako sitting room yule dogo akaropoka 'baba leo nimemkumbuka aliyemlalia dada siku ile, ni yule pale ticha' kwanza kilipita kimya kikuu nikahisi ganzi kisha joto kali halafu jasho mpaka kwenye meno na kiu kali mno sikujua nafanya nini ila nilijikuta natimua mbio na kutokomea !!!

kilio.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom