Mpenzi wake BABA YANGU ameachwa kwenye MATAA

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Kati ya tarehe 22-24 mwezi huu wa tano watanzania tumeshuhudia tukio ambalo ni nadra sana kutokea sio Afrika tu bali ni dunia nzima.

Mpenzi wa baba ameachwa kwenye mataa na aliyekuwa awe mme wake, huku kukiwa na tuhuma kuwa kijana huyo ametokomea kusikojulikana na pesa zisizo pungua milioni 40 na kumuacha mpenzi wa baba akiwa mgonjwa.

Mpenzi wa baba ataweka wapi sura yake, mpenzi wa baba atafanya nini jamani?

Ni dhahiri kuwa hata baba atakuwa hajafurahishwa na kitendo alichofanyiwa mpenzi wake aliyezaa nae mtoto kwani naamini lazima baba alimruhusu mpenzi wake afunge ndoa hivyo kitendo cha huyo kijana kitakuwa kimemuumiza sana baba. Kama baba asingeiruhusu hiyo ndoa lazima huyo kijana angekuwa alishahukumiwa kifungo kisicho pungua miaka 18 au kifungo cha maisha kwa kesi ya ubakaji na kulawiti.

Bado natafakari kijana huyo ameamua kumuumiza mpenzi wa baba kwa bahati mbaya au kwa makusudi? Hivi huyu kijana anamfahamu vizuri baba yangu?

Kijana nakukumbusha tu kuwa baba yangu si mtu wa kuchezewa, baba yangu hawezi kukubali mpenzi wake kuaibika kiasi hiki. Kijana, unadhani baba atakuacha?

POPOTE ULIPO, UWE HAI AU UMEKUFA BABA ATAKUPATA TU. POLE SANA BABA YANGU NA MAMA.
 

Kizazi jeuri

JF-Expert Member
May 16, 2013
298
0
Ila jamaa linaonekana hatari kwenye uwanja wa sita kwa tano mpaka mtu hoi.. harafu haya mambo bwana unaweza kukuta plan ili mtu adhalilike una cheza na akili za watu wew.. Kabla ya kuogelea tuchunguze maji la sivyo utapigia mbizi jiwe ukizani maji.. Tuwe na zaidi ya umakini katika maisha.
 

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,409
0
Ila jamaa linaonekana hatari kwenye uwanja wa sita kwa tano mpaka mtu hoi.. harafu haya mambo bwana unaweza kukuta plan ili mtu adhalilike una cheza na akili za watu wew.. Kabla ya kuogelea tuchunguze maji la sivyo utapigia mbizi jiwe ukizani maji.. Tuwe na zaidi ya umakini katika maisha.

Tumuombe Mungu amjalie baba roho ya huruma na msamaha ili jamaa awe salama.
 

Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,139
1,250
Tumuombe Mungu amjalie baba roho ya huruma na msamaha ili jamaa awe salama.
Thubuuuutu! Daddy yuko tayari kuibiwa hela zote na hata watoto wake lakini kwenye michepuko yake hehehe! Utaombwa hata msaada wa intelligensia za nje!
Huyo mume wa mchumba wa baba ndio kaisha hivyo!
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,194
2,000
Hata simsikitii maana yeye ni mharibifu wa ndoa za watu. Aliyetokomea naye alikuwa mume wa mtu. Mke wake wa ndoa alikinukisha kwa padre. Hivyo mama yako huyu analipwa haki yake kwa kuingilia ndoa ya baba yako. Malipo ni hapa hapa duniani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom