Note Book: The Best Love Story Movie ever!

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Hii movie bana,,nshaingalia zaidi ya mara 2 ila nkii play tu nashindwaga ku skip even a single part
 
Kuna muvies hazichoshi mkuu, zinavutia sana.

1. Fast and Furrious 6 nimeiangalia zaidi ya mara 4 na siichoki

2. Fast and Furrious 5 nimeiangalia zaidi ya mara 10 na siichoki

3. Fast and Furrious 4 nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki

4. Fast and Furrious 3 nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki

5. Fast and Furrious 2 nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki

6. Fast and Furrious 1 nimeiangalia zaidi ya mara 5 na siichoki

7. 3 ------ hii sikumbuki ni mara ngapi, naenjoy sana

8. Seasonal Reviews za Manchester United toka mwaka 2000, kila siku naziangalia na sizichoki
 
Ww wapenda action?
 
King of the jungle sikumbuki nimeiangalia mara ngapi
 
Eh watu wazunguzz..me napenda NSYUKA filamu ya kwanza ya kitanzania ya kutisha,u shud find it guys hamtoichoka yaniii..lols
 
"Who loves me" pt 1&2

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom