Je ni kweli ili mapenzi yadumu uongo unahitajika?

Je ni kweli ili mapenzi yadumu uongo unahitajika?

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,073
Reaction score
6,642
Nina rafiki yangu ana mpnz(demu) wake yupo mbeya na yeye yupo dsm, na wana miaka minne katika uhusiano wao.

Juzi katika ongea yao kupitia simu, wakajituta wana ulizana, hivi ni kitu gani ulicho wai kunificha mdada ana ulizwa hivyo! bila kuficha akajibu, mwaka juzi kipindi yupo huko mbeya amewai kumcheat mara 8 na wanaume wawili tofauti!...ila baadae akaona ni utoto akaacha, cha kushangaza jamaa kampiga chini mdada wa watu!!..mdada anaomba nimshauri jamaa yake kwani bado ana mpenda sana!..

Ushauri wenu wana MMU
 
mara nane?....ama kweli fimbo ya mbali aiuwi nyoka!!!!
 
Sometimes yes' sometimes no!! Inategemea ntu na ntu!
 
duh, huyo kibaka mzoefu na jasiri haachi asili.
 
Si alitaka kujua tu au alikuwa anatafuta sababu ya kumpiga chini? tusipende kutaka kujua mambo ambayo tunaona tukipata majibu negative tutaumia? hilo swali sioni kama lina mantik maana kwa vyovyote majibu lazima yawe negative
 
Bora kapigwa chini yani mara 8?hata kama ni mie ningemuacha tu kha?
 
Mambo mengine bana..muwe mnaangalia na maswali ya kuuliza nini kujitafutia stress?
 
Dah hapo anatakiwa kutumia hekima na busara mtoa hukumu wa jambo hilo ni moyo wake hvyo aulize hakimu wake moyo!
 
Unachitiwa mara8 na wewe umo tuu!

mara nane tena na wanaume wawili tofauti!!! hahahaha hakuna kitu kipaya kwa mwanaume kama kuchapiwa" ndio maana wachanga wenzangu akichapiwa anauwa na kujiuwa!
 
Mambo mengine bana..muwe mnaangalia na maswali ya kuuliza nini kujitafutia stress?

ahahaha mshikaji alitarajia kuambiwa stori za ndizi labda..lol.


ila huyo si muoaji....shukuru Mungu amesepa.
 
ahahaha mshikaji alitarajia kuambiwa stori za ndizi labda..lol.


ila huyo si muoaji....shukuru Mungu amesepa.


Nae alimchoka tu....hiyo siyo sababu ya kumuacha mtu,labda alikuwa anatania tu...
 
mara nane tena na wanaume wawili tofauti!!! hahahaha hakuna kitu kipaya kwa mwanaume kama kuchapiwa" ndio maana wachanga wenzangu akichapiwa anauwa na kujiuwa!
Ila kujiua kwa sababu ya kuchapiwa napo ni udhaifu bana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom