Ushauri please

Ushauri please

CoolGlady

Member
Joined
May 24, 2014
Posts
18
Reaction score
0
Jamani naombeni ushauri, si muelewi huyu mtu.

Tumekuwa kwenye uhusiano kwa miaka 2, lakini kwa sasa tupo mbali.

Mi sababu ya masomo, anajua siwezi rudi mpaka baada ya 6 years, mwanzo alikubali kunisubiri, but nashangaa akageuka anasema hawezi ni muda mrefu, nikamwambia ka hawezi hakuna point ya kuendelea bora kila mtu ashike zake ajali future, akanigeuzia kibao kuwa nataka kumuacha, nikamwambia yeye ndo kaweka vitu wazi so siwezi kuweka matumaini pasipo tumainika, then ananambia anataka akanitambulishe, kweli hapa kuna ukweli!! please naombeni ushauri.
 
wewe ni mawanaume, mwanamke au jinsia zote?
 
miaka 6 kudanganyana tu.kwa nini usimlete huko unakoenda au cost huzimudu?kama huzimudu weka utaratibu at least muonane kila mwaka mara mbili au moja......kujitambulisha yupo sahihi ila unaonekana huyu dada humpendi kwa dhati ulivyopata kisafari ukaamue upate sababu...mnh mianaume mingine...?!
 
miaka 6 kudanganyana tu.kwa nini usimlete huko unakoenda au cost huzimudu?kama huzimudu weka utaratibu at least muonane kila mwaka mara mbili au moja......kujitambulisha yupo sahihi ila unaonekana huyu dada humpendi kwa dhati ulivyopata kisafari ukaamue upate sababu...mnh mianaume mingine...?!

huyu ni ke.
 
6 yrs!!! Uliondoka na nyeti zake au ulimwachanazo? Kwani matumizi ya nyeti zake anapanga yeye au wewe au muliandikishana mkaba?
 
Utamkuta na watoto tayari!
Chezea Me wewe?
 
hivi na wewe utaweza kweli hiyo miaka yote? Au ndo unasema tu?
Mie mwaka mmoja tu nliona mtiti wake maana nlijitahidi kukaa bila kuchepuka sasa wewe hiyo miaka 6 hiyo mmhh.
 
6 yrs!!! Uliondoka na nyeti zake au ulimwachanazo? Kwani matumizi ya nyeti zake anapanga yeye au wewe au muliandikishana mkaba?

Missing u honey...umenisikitisha kuonyesha hutaweza kunivumilia
 
Miaka sita khaaa,siku hizi ukivumiliwa saaana ni wiki moja.maana papuchi za sikuhizi zinashika kutu so zinahitaji kupigwa grisi mara kwa mara...loading error...
 
Miaka 6 mnasubiriana ni uongo. Vinginevyo fungeni ndoa mfanye utaratibu aje ulipo. Mwanaume yaelekea ameshaanza kuona karaha so soon atakuwa na mtu.
 
Jamani naombeni ushauri, si muelewi huyu mtu. tumekuwa kwenye uhusiano kwa miaka 2, lakini kwa sasa tupo mbali. Mi sababu ya masomo, anajua siwezi rudi mpaka baada ya 6 years, mwanzo alikubali kunisubiri, but nashangaa akageuka anasema hawezi ni muda mrefu, nikamwambia ka hawezi hakuna point ya kuendelea bora kila mtu ashike zake ajali future, akanigeuzia kibao kuwa nataka kumuacha, nikamwambia yeye ndo kaweka vitu wazi so siwezi kuweka matumaini pasipo tumainika, then ananambia anataka akanitambulishe, kweli hapa kuna ukweli!! please naombeni ushauri.

Hata miezi 6 kwangu migumu.

Funga ndoa na mumeo muishi pamoja.

Otherwise, gawa tu kwa wazungu na yeye anakigawa kwa waafrika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom