Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Acha Mungu aitwe Mungu. Hapa ndipo ninapoamini laws za compensation na conservation of attributes. Yaani, unakuta mwanamke anayesemwa mzuri hajui chochote kitandani, akijitahidi sana anakuwa average na kuwa average mara nyingi kupitia intensive training. Lakini mwanamke unayemwona halipi sana kwa appearance au physique, dah, ni raider kama Navy Seal Six Team!
Hapo ndipo ninapoamini, mtu (mwanamke) akinyimwa kitu fulani anabecompensated kwa kupewa kitu kingine na attributes zinakuwa conserved!
(Please, kwa leo naomba nisiulizwe research methodology niliyotumia).
cc: Evelyn Salt, lara 1, Babu Asprin

Last edited by a moderator: