Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa miaka 25 sasa nipo chuo kikuu nangu nasoma sijawahi kuwa na msichana kwani nimesoma shule za boyz mpaka nafika huku na sina mapungufu ya aina yoyote naomba msaada wenu wa mawazo...
2 Reactions
128 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa miaka ishiri na nne ninaishi hapa mkoani Arusha na pia ni mwanachuo ktk chuo kimoja kilichopo karibu kabisa na hospitali ya seliani mjini. Ninae mpenzi wangu ambae tunapendana...
1 Reactions
44 Replies
8K Views
wapendwa habari zenu. Kanitumia elfu kumi kwenye m-pesa account yangu. Lengo lake nipande gari nimfuate kwenye sehemu za starehe. Zimepita wiki mbili hela nimekula kwenda sjaenda...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. mie natarajia kufunga ndoa mwezi wa 10 mwaka huu, sasa naomba ushauri wa kumpata bestman, msimamizi wa ndoa yangu aweje awe na sifa zipi, maana even ukiwa kanisani wapo watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Weekend iliyopita nilikuja kuombwa ruhusa na ushauri toka kwa mdogo wangu (mtoto wa baba mdogo) ambaye kwa namna moja au nyingine niko naye kwangu tokea 2009 kwamba anataka kuoa, la ajabu kumbe...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa...
3 Reactions
10 Replies
7K Views
Muda huu nipo na wadada hapa kiwandani wanapeana mastori.Walipo wao na mimi kuna barrier fulani hivi ambayo hatuonani ila kusikia nitakacho ongea mimi au wao tutasikilizana. Kwa kifupi hawanioni...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Ndugu zangu ni muda mrefu tokea nikumbatiwe na mpenzi wngu takribani miaka sita nyuma , nimekuwa na hisia za mapenzi kwa muda mrefu na kitu kinachoniumiza most of the guys who loves me sina...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
jamani n muda mrefu sana tangu nlipowahi kuwa close na guy (hug) am not experience wat sex is bt through hugging nlipata kujua on how its good to be touched with some body with differnt sex...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekumbana na hii huko kwa Michuzi.... Wenye Masters hebu changamkieni 0.5 wa Kijerumani!! aluta continyua Kaka Michuzi, Kwa jina naitwa Jovinata Kileo. Natokea mkoa wa Kilimanjaro...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
8 Reactions
251 Replies
19K Views
Ujasiri ni asili ya viumbe vya jinsia ya Kiume au ni kujitahidi tu usiaibike? Mwanamume Simama katika Nafasi yako usitishwe na Haki Sawa.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Mambo wadau.Hivi kule fb ukitaka kung'oa demu unafanyaje maama naona kila kitu kipo open kuna mademu wako loose tu kule. Ukimwi upo na unaua tumia condom
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wakala Unakaribishwa kwenye MKUTANO utakaofanyika ktk UKUMBI wa hoteli lamada 31/05/2014 Jumamosi saa tatu asubuhi fika bila kukosa mda huo
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Wadau! Baada ya kuzinguliwa ukweni kwamba nimechelewa kupeleka posa, nimeamua kutafuta mwanamke mwingine, Mimi ni mwanaume, mfanyakazi, nina umri wa miaka 28, elimu yangu ni degree, Natafuta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imefika kipindi muhafaka katika maisha yangu kuwa na mtu ambaye tutaanzisha familia hapo baadae sina maneno mengi kwa msichana aliye tayari naomba tuwasiliane. Na ingekuwa vizuri angekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina mchumba ambaye nimekuja kugundua kuna m'ke mwenye watoto wa3 anaishi naye.Nikambana sn na kumweleza nimelifahamu kwa njia gn,alikataa badae akakubali na kuniomba msamaha na kuanza kunieleza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Closed
Nimeisha piga bao 8 bila kupumzika na bado naitaji ila yeye hataki na anatishia kuniacha. Kwani kwa kawaida unatakiwa kuisha vingapi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je, ni sahihi kumkataza house girl asizungumze na ndugu zake, asitoke nje ya geti,asikae sebuleni, akienda kusali mpaka alindwe?
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna dada mmoja alikuwa na mwanae alomzaa bila kuolewa kaishi nae mpaka kafika mtoto darasa la 5 .kunasiku yule dada alipotelewa na pesa yake elfu kumi haijulikani kama yule mtoto aliiba pesa ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…