Wanatusumbua.......

Wanatusumbua.......

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
296
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
 
heheheeeee short and clear,ujumbe utawafikia....lakini nina wasiwasi saaana na jukwaa,walioko huku wote ni wapendao kujifunza so asilimia kubwa wanajua, labda utekelezaji....walioko kwenye siasa ambao hawachungulii huu ni wagumujeeeeee!!!!!!
 
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy

Kama unajua ni mke wa mtu kwanini unatembea nae? Yani kila anaekusumbua ndo utembee nae?

chunga ndugu zama hizi binadamu wamebadilika sana! Yanaweza kukupata ya ajabu.
 
He he he, usifanye leo wanamme wakajeruhi wake zao iwe fundisho la siku zijazo.

Sasa wewe naye unasumbuliwa nini? Mbona kama unanukia maziwa kabisa?
 
Ya ajabu yapi? Cha kuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga - sosi King'asti

Kama unajua ni mke wa mtu kwanini unatembea nae? Yani kila anaekusumbua ndo utembee nae?

chunga ndugu zama hizi binadamu wamebadilika sana! Yanaweza kukupata ya ajabu.
 
Last edited by a moderator:
We endelea tu kula vya wenzako...ngoja nawe siku watu waje kukutafuna
 
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy

Mwanawane kama kuku anajitembelea mwenyewe hana banda kuna ubaya gani ukamfuga. Endelea lakini......
 
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy

Hao wanaowasumbua mtaani, ni wahuni kwa asili, na si kwa sababu hawananiliwi vizuri! Hiyo ni tabia yao mbaya! Jaribu kuwaepuka.
 
He he he, usifanye leo wanamme wakajeruhi wake zao iwe fundisho la siku zijazo. Sasa wewe naye unasumbuliwa nini? Mbona kama unanukia maziwa kabisa?
Sasa si mnamsumbua??

Na siku hizi eti mnataka damu inayochemka
Sijui wengine hawana majiko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahahahahahahha message delivered hata wakikupiga madongo, ila na wewe utakuwa unawatangazia kuwa unajua kukuna wenye kiu ndo maana wanakusumbua, au ulimkuna mmoja akasimulia mtaa mzima so hata kama waume zao wanawakuna ila wanataka kuonja tuu ya kwako ikoje na wanakuja kwa kujitetea wana mwezi hawajapata looh nawe unawaamini.

Katika vitu ambavyo usiviamini kutoka kwa mwanamke ni pale anapokuwa anakuomba penzi au anakiu umgegede atakwambia vitu vingi na kati ya hivyo vingi ni vya uongo ili tuu umnanihiii heheheheeeee.
 
bora umesema mapema usije kupata lawama

inawezekana baadhi ya wanaume wengi ndani ni wanaume suruali mpaka watumie mkuyati
 
Hizi damu zinazochemka zinajichemsha zenyewe tu au na wasichana wao, hawawezi kuchemsha wanawake.


Vingine vinajitongozesha tu, vitoto vya siku hizi vina njaa kama nini, si ndoa maana vyaitwa marioo

Sasa si mnamsumbua??

Na siku hizi eti mnataka damu inayochemka
Sijui wengine hawana majiko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hizi damu zinazochemka zinajichemsha zenyewe tu au na wasichana wao, hawawezi kuchemsha wanawake. Vingine vinajitongozesha tu, vitoto vya siku hizi vina njaa kama nini, si ndoa maana vyaitwa marioo

Ninadai eti vibinti vinwasumbua kuwapa 'mashavu'

Sasa nyie ambao ka umri kameenda kidogo hmna usubufu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom