Mtoto analala akistuka anadai nyama yake

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
53
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na inaweza hata saa nzima akachukua kudai nyama. Na kimsingi sisi bajeti ya nyama ni mara 1 kwa wiki. Je hii itakuwa inaashiria nini?Au niongeze siku za kula nyama?Wenu Benokolongokonongose
 
Hahhhhha labda analishwa nyama na wachawiii wanampunja, muombee tu sio vizuri
 
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na inaweza hata saa nzima akachukua kudai nyama. Na kimsingi sisi bajeti ya nyama ni mara 1 kwa wiki. Je hii itakuwa inaashiria nini?Au niongeze siku za kula nyama?Wenu Benokolongokonongose
Mara moja kwa week ongeza siku za kula nyama ataacha maana ataona ni kawaida, uwe unamnunulia hata mshikaki wa mia tano kwa siku
 
Kama unasema kweli huyo mwanao atakuwa kaingiliwa na nguvu za giza au atakuwa anachukuliwa na wachawi kufanya kazi za kichawi ila hataweza kuwaambia kama ni Mkristo simama mwenyewe kwa miguu yako usali na kufungu wakati wa kulala vujavunja roho zoote za shetani, omba rehema tubu dhambi ulizofanya mchana kutwa kwa mawazo maneno na marendo ombea nyumba yako na mjifunike kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai hakuna kitakacho tokea tena halafu uje utoe ushuhuda hapa kumbuka Mungu si wa majaribio.
 
Mara moja kwa week ongeza siku za kula nyama ataacha maana ataona ni kawaida, uwe unamnunulia hata mshikaki wa mia tano kwa siku

Au ampikie hata kilo moja halaf wampe yote ale muwekeeni kwenye hotpot halaf mnapakulia kwenye sahani yake kila akimaliza muongezeenii akisema imetosha mnaacha kumpa,halaf muone usiku ataomba akiomba basi kuna kituu
 
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na inaweza hata saa nzima akachukua kudai nyama. Na kimsingi sisi bajeti ya nyama ni mara 1 kwa wiki. Je hii itakuwa inaashiria nini?Au niongeze siku za kula nyama?Wenu Benokolongokonongose

Pima kwanza ulaji wake wa nyama, anapenda sana nyama? Unahisi kiwango cha nyama kwenu hakitoshi?
Jaribu kurekebisha frequency ya kula nyama nyumbani hadi iwiane na hamu yake ya nyama. Pima kama bado ndoto zipo.

If the dreams are still there, My brother- something lurks in the darkness of your house. Act on lyinga 's advice.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na inaweza hata saa nzima akachukua kudai nyama. Na kimsingi sisi bajeti ya nyama ni mara 1 kwa wiki. Je hii itakuwa inaashiria nini?Au niongeze siku za kula nyama?Wenu Benokolongokonongose
Hallo Invisible, hii thread ina mwelekeo wa kitabibu na afya. Naomba uihamishie JF Doctor
 
Last edited by a moderator:
jamani itakuwa namiss nyama sana ongeza siku za kula nyama home
 
Karne hii nyama zipo za aina nyingi mkuu ungemuliza kwa upole nyama ipi anamaanisha?isije kuwa ashaonjeshwa nyama ya mpini sasa imemchanganya
Ebu nipe na umri wake ili nimalizie ushauri vizuri!
 
hapa siwezi kuchangia, labda kule jukwaa la hosipitali...
 
Au ampikie hata kilo moja halaf wampe yote ale muwekeeni kwenye hotpot halaf mnapakulia kwenye sahani yake kila akimaliza muongezeenii akisema imetosha mnaacha kumpa,halaf muone usiku ataomba akiomba basi kuna kituu

Bajeti mkuu kutoka week mara moja had kg1 per day acha maskhara utampa stres,,,,,,,utaua mbavu zangu wewe kaaaaaa
 
Karne hii nyama zipo za aina nyingi mkuu ungemuliza kwa upole nyama ipi anamaanisha?isije kuwa ashaonjeshwa nyama ya mpini sasa imemchanganya
Ebu nipe na umri wake ili nimalizie ushauri vizuri!

Diiiiiiiih
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom