Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Nimeona threads nyingi kuhusu waliokutana na vibamia au mabwawa ya Mtera. Inakuwa kama ajali vile wakati kuna njia za kujua masuala hayo kabla ya mtanange! Inaweza isiwe kwa asilimia mia kwa mia lakini kwa sehemu kubwa kuna ukweli.
Kujua kama kuna bwawa la Mtera angalia mdomo wa mhusika. Urefu na upana wake vina uhusiano wa moja kwa moja na sehemu husika. mdoma mkubwa mrefu unaashiria bwawa la Mtera!! Kwa wanaume angalia kiganja cha mkono - urefu na ukubwa kuhusiana na size ya mwili wa mhusika. Kama kiganja ni kikubwa na kipana in relation to mwili wa mhusika, basi hata sehemu nyeti ni hivyo hivyo.
Kabla ya kujimwaga kunako 6 x 6 angalau fanya tathmini!!