Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Kavaa chu.pi nyeupe
Mmmmmh. Huyo anachotafuta ni zaidi ya kazi.
Baba Paroko asante sana naumia lakini
Hapo yupo jikoni anapakua msosi wa mzee,mama kakunja nne sebuleni na remoti vp hapo.
Baba Paroko asante sana naumia lakini
Kwa hyo mama anaangalia La Mujer de mivida.
Yap na hana wasi2 si ana hati miliki ya mwanaume.
Vp hapo wenye hati miliki zao za ndoa kuna usalama?
Ila siku hizi wenyewe wanaelewa mapinduzi dakika yoyote hufanyika.