Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

Katika hili Mke wangu sikubaliani nae

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,853
Reaction score
35,618
Habari wanajamvi,

Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za taifa.

Kwanza akaanza kuipenda Arsenal ghafla kama mimi navoipenda, na ameanza kuipenda timu ya taifa ya Ujerumani ninayoishabikia na anajua story kibao za soccer anadai eti tutakua tunaenda wote kucheki game nasema hapana kama anataka amani yeye aangalizie home ili yaishe ni hayo tu.
 
Huu mezi ndo ulikua mwezi wa neema za allah yeye analeta kauzibe na hata kama jana ameninunulia jezi originali za ujerumani lkn bado hajanishawishi kabisa
 
Labda niangalie nae game za mchana lakin za jion hasa za kuanzia saa kumi na mbili haiwezekani ndo nshasema hvo.
 
Aaa Salaleeeeeeeeeee asalaleeeeee.
Habari wanajamvi ? Imekaa hivi
Kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za taifa , kwanza akaanza kuipenda Arsenal ghafla kama mimi navoipenda, na ameanza kuipenda timu ya taifa ya Ujerumani ninayoishabikia na anajua story kibao za soccer anadai eti tutakua tunaenda wote kucheki game nasema hapana kama anataka amani yeye aangalizie home ili yaishe ni hayo tu.

Pumba tu....
 
Nunua DSTV weka nyumbani hayo mambo ya kukosana kisa mechi achana nayo au nunua Startimes uangalie TBC
 
Na mie Paw kaninunulia tickets za mechi 3, yaani nakuja kuangalia eti kila mtu anasafiri kivyake, na anaangalia mechi zake. Madai yake tusimuliane. Nimeshanunua tikiti za mechi zake na mie naenda kumsapraizi.

#teamkubanana
cc Mbu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Star Times ipo nataka yeye awe anaangalia home lkn bado hataki kabisa


Nunua DSTV weka nyumbani hayo mambo ya kukosana kisa mechi achana nayo au nunua Startimes uangalie TBC
 
Na mie Paw kaninunulia tickets za mechi 3, yaani nakuja kuangalia eti kila mtu anasafiri kivyake, na anaangalia mechi zake. Madai yake tusimuliane. Nimeshanunua tikiti za mechi zake na mie naenda kumsapraizi.

#teamkubanana
cc Mbu

heheeheeehee kumbe na wewe ndo wale wale tu kasoro majina
 
Last edited by a moderator:
Hivi mzee wewe unapata bahati kama hiyo mke anajidunza mpaka kupenda mpira muende sambamba wewe unaona kero.. Kweli penye miti hamna wajenzi..!?
 
Utam wa game msimuliane kama baadae hasa yeye achek home mimi nikachek kwingine huko mbaaali


Kwa nini hutaki kwenda na mkeo kuzicheki hizo gemu?

Una matatizo wewe. Kama huna tatizo basi kuna jingine......
 
Arovera ushapoa msiba wa rafikio?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivi mzee wewe unapata bahati kama hiyo mke anajidunza mpaka kupenda mpira muende sambamba wewe unaona kero.. Kweli penye miti hamna wajenzi..!?

yani sijui hata nisemeje kujifunza sio mbaya issue ni yeye kutaka afuatane na mimi
 
Nimerudi toka juzi na niliweka uzi hapa jinsi safari ilivokua sasa ndo nakuta haya mapya ya kombe la Dunia wife kakomaa kinoma yani basi tu



Arovera ushapoa msiba wa rafikio?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Na anashindwa kukumbuka ili mwanamke awe na afya bora ya uzazi na kuepuka baadhi ya kansa anatakiwa kulala mapema yaani cjui nimueleweshe vipi mimi
 
nadhani una yako mengine behind the scene,,,,,
 
Kumbe je? Ujinga saa ya kwenda, saa ya kurudi nshaerevuka mie. Nisipomkaba mume wangu nikamkabe babangu? Atalijua jiji mwaka huu
heheeheeehee kumbe na wewe ndo wale wale tu kasoro majina
 
Ili muweze kuangalia uzuri kila mmoja aende akaangalie upande wake, yeye akenda kuangia huku wewe uwende kwengine
 
Mi namshukuru Mungu mme wangu tunaenda wote na hana shida tena anafurahi kweli,sema sasa hivi ntashindwa nalea;
 
Back
Top Bottom