Nimeachwa kisa sili kitimoto

EagerBee

Member
Aug 29, 2013
34
0
Jamani dunia ina mambo, viumbe mbuzipori nae ni ishu nowdays? nilikubali kubadili dini (mwanamke hana dini) ili nifunge ndoa na nimpendae ila nilimweka wazi kuwa kitimoto sitaweza mweka mdomoni mwangu.

Matokeo yake wazazi wake wakapinga ndoa yetu, wakilazimisha uwepo wa kitimoto katika maisha yangu.

Nilipokataa nikapigwa chini
 
Kula ule wewe,tumbo lako wewe kisha ukataliwe?sielewi mimi walikuwa wanatafuta sababu za kukukataaa kwasababu sijawahi kusikia such a "LOUSY" excuse in my life…Why should anyone judge what you eat or what you don't eat…its ur business even if u eat goat balls as long as your not harming anyone!Ungewaambia una aleji ya kitimoto!
 
Jamani dunia ina mambo,kumbe mbuzipori nae ni ishu nowdays?nilikubali kubadili dini(mwanamke hana dini) ili nifunge ndoa na nmpendae ila nilimweka wazi kuwa kitimoto ctaweza mweka mdomoni mwangu,matokeo yake wazazi wake wakapinga ndoa yetu...........wakilazimisha uwepo wa kitimoto ktk maisha yangu.Nilipokataa nikapigwa chiniii
Ulikuwa dini ipi naumehamia ipi mkuu?
 
Ukiwa king'ang'anizi wakati mwingine ni bora kuplay unfair. That's unfair
 
hata mie ningekuacha kama huli kitimoto, kwenye noah choma ndio kwenye madili ya epa escrow.
 
"Mwanamke hana dini"

Huwa inamaanisha njni?
Mwanamkr hana akili ya kufanya maamuzi?
Hana roho?
Hajielewi?
Hana direction ya maisha?
Bendera fuata upepo?
Hana thamani?
Au?

Hiwa siielewi hii sentensi
 
Mmh, hapo kwenye mwanamke hana dini naona mushkel kidogo.
Na kama uliwaambia hayo ndo maama umeachwa.
 
Kula kitimoto ni sawa na kumiliki IPTL,

Utamu wake usiseme.

Kula wewe, hyo kitu ukianza utaishia kujuta ulikuwa wapi miaka yote hyo
 
maelewano tu kuna shemeji yangu aliolewa kama miaka nane iliyopita hajawahi na hatamani kuonja na ndoa inaendelea poa tu
 
Sidhani kama kutokula kiti moto ndio sababu ya wewe kuachwa... Kuna sababu kubwa nyuma ya pazia..!!
 
Huwa nashindwa kujizuia kushangaa mwanamke anapobadili dini ili aolewe.
 
ni balaa aiseee mimi jaman sipendi kulazimisha mambo ninamwambia aende tu jaman khaaa kwani kashikilia roho yangu? yani dini nimekubali kubadili bado tena unilazimishe vitu ka hivyo thubutuuu(hapa nimewaongelea ambaao hawatumii mdudu lakini kwangu mimi nakikonga balaaa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom