kwanza kuwa msafi hasa kwa nguo zako za ndani hakikisha hauludii mara mbili.pia usivae nguo ambayo haijakauka au yenye unyevu.mda mwingi akikisha upo kwenye hali ya ukavu.pia usivae nguo inayokubana sana ambayo hewa kupita shida.usitumie sabuni zenye makemikali au hata mafuta yenye makemikali.chengine hakikisha choo kinakuwa kisafi mda unapokitumia.kubwa kuliko NENDA HOSPITALI UKUTANE NA MADAKTALI.waeleze tatizo lako na kama kuna baadhi ya dawa umeshawai kutumia na muda wa hilotatizo.hope utapata suluhisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.