mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 368
Habari zenu,naombeni ushauri kwa yaliyonikuta,mimi ni binti,nipo katika mahusiano na kijana mmoja mcheza mpira maharufu hapa Tanzania.
Mahusiano yetu sasa ni miaka mawili,nampend sana huyu kijana nimejitahid kuwa mwaminifu kwake lakini naona maji ya menifika shingoni.
Ki ukweli huyu mwanaume ana nitesa sana kutokana na tibia zake za uhuni na maneno ya kejeli,pamoja na kunitambulisha kwa ndugu zake na kudai atanioa na kunipa funguo za nyumba lakini bado ana wasichan nje,
Nyingine natukanwa kwa jili yake na hao wasichani lakini nimekuwa mvumilivu,wakati nipo katika mahusiano na Huyu mcheza mpira akatokea mwanaume mwenye nia ya dhati ya kunioa sikuwa tayari sababu nilijua ananitamani.
Akawa ananisumbua San nikaw namtukana,(nikikumbuka huwa nalia) ambapo kwa sasa Yupo kikazi nje anasoma.
Huyu mpenzi wangu wa zamani kila siku anataka tuzae aje atoe barua nyumbani alafu ndoa hadi hapo badae ambapo sijaliafiki.
Nilishika mimba pasipo mimi kujua ili kuwa ni ya wiki mbili.
Kuna siku tuligombana akataka kunipiga nikaumwa sana n'a tumbo,akanipelek hospital nikaambiwa mimba imeharibika nisafishwe.
Nikapona tangu siku Hiyo nimekuwa sina amani kila siku ugomvi,natukanwa sana nimekuwa ni mtu wa kulia kila siku.
Leo Asubuhi baba yangu mzazi ameibiwa milion 5 akiwa mjini,hivyo nyumbani kwa ujumla siku yetu haijaenda vizuri,nikawa nimeingia fb na whtsp nachat na ndugu zangu,imekuwa kosa akaanza kunisema kuwa mimi ni msaliti,nakesha kwenye mitandao ambapo sio kweli.
Umeshindwa kunipa hata pole ya matatizo ya baba yangu.
Ndo kwanza kanizidisha machungu,namwambia aniambie ukweli kama haniitaji,akaniambia neno la mwisho nakuogopa sana niache nilale kesho nitakupa jibu,
Nimebaki njia panda najuta mimi uwaminifu wangu umeniponza nateseka na huyu mwanaume.
Natamani nipate mwanaume mwaminifu na mwenye upendo na mimi.