Mapenzi basii

Mapenzi basii

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
kuna uwezekano nika grant independence soon colone libaki wazi...my baby mama anapiga mizinga mpaka napata wasiwasi before hakuwa hivi love kwake inaelekea kupotea kabisa sio kama hapo awali namwona kama vuvuzela hivi story mbili tatu kaingiza suala la pesa..sitaki kuamini ila inabidi ahangalie mbele DAA KUMBE PESA INASHUSHA MTU THAMANI KUTOKA WIFE MATERIAL MPAKA WAKAWAIDA...

WAKINA DADA MUWE MAKINI UKIMPENDA MTU PUNGUZA MDOMO WA KUOMBA PESA HATA KWA MASUALA YASIYO YAMSINGI...TAYARI NIMEMWACHA HUYU MWENZENE...
 
kuna uwezekano nika grant independence soon colone libaki wazi...my baby mama anapiga mizinga mpaka napata wasiwasi before hakuwa hivi love kwake inaelekea kupotea kabisa sio kama hapo awali namwona kama vuvuzela hivi story mbili tatu kaingiza suala la pesa..sitaki kuamini ila inabidi ahangalie mbele DAA KUMBE PESA INASHUSHA MTU THAMANI KUTOKA WIFE MATERIAL MPAKA WAKAWAIDA...

wakINA DADA MUWE MAKINI UKIMPENDA MTU PUNGUZA MDOMO WA KUOMBA PESA HATA KWA MASUALA YASIYO YAMSINGI...TAYARI NIMEMWACHA HUYU MWENZENE...

Aisee!! Asante kwa taarifa.
 
tulivyoongea home haijatosha umeamua kuja kunisema huku JF
 
dahhh..pole kaka umechukuliwa hivihivi..hapo hujamwacha ila umempa urahis wa kutanua na huyooo aliyemfundisha kupenda pesa..no money no honey..no pesa no mapenziii...MAPENZI NI KING'AMUZI NA PESA NDO DIGITAL.
 
Haya mahubiri tumeyachoka wajameni....haipiti siku watu watano wamefungua thread kulalamika eti tunapenda pesa....mtu ukiona humuendani mitazamo si mbwagane tuu....? Arrrgh....nimechoka mimi
 
yeye anafikiri una machimbo ya hela au?pambaf....loading error...
 
Ndoa imekuwa kitega uchumi.

Kuna watu wanadhani tunavuja pesa kama tunamiliki NASDAQ
 
kuna uwezekano nika grant independence soon colone libaki wazi...my baby mama anapiga mizinga mpaka napata wasiwasi before hakuwa hivi love kwake inaelekea kupotea kabisa sio kama hapo awali namwona kama vuvuzela hivi story mbili tatu kaingiza suala la pesa..sitaki kuamini ila inabidi ahangalie mbele daa kumbe pesa inashusha mtu thamani kutoka wife material mpaka wakawaida...

wakina dada muwe makini ukimpenda mtu punguza mdomo wa kuomba pesa hata kwa masuala yasiyo yamsingi...tayari nimemwacha huyu mwenzene...

unapatikana wapi?
 
From my opinion katafute ambaye hapendi pesa tuone kama utampata dunia ya leo..?!
 
Haya mahubiri tumeyachoka wajameni....haipiti siku watu watano wamefungua thread kulalamika eti tunapenda pesa....mtu ukiona humuendani mitazamo si mbwagane tuu....? Arrrgh....nimechoka mimi

Naww upo katika kundi la kala pina?
 
Hilo ni tatizo la kitaifa! Na vile umemtotolesha ndio anajua yupo na hati miliki kuzifukunyua zilipo!!
 
Duh,,,,,,!
Ningekupa pole mkuu, lakini kwanza weka kiasi ambacho huyo bby wako umekua ukimpa na kukufanya uhisi utu kwisha. Maana isije ikawa unalalamika kwa mizinga ya vijisenti
 
hela za mawazo tu wewe huna lolote....
ishia zako na ubahili wako achia wenzio wenyenazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom