ni wewe uliyeachwa au huyo jamaa yako!!!!!!!!!!!!!
Kila mtu huwa anasema hivyo... wengine kwa chigereza.. eettii FROM MY FRIEND...ni wewe uliyeachwa au huyo jamaa yako!!!!!!!!!!!!!
..hivi ulishapataga ujasiri wa kupima, nakumbuka ulikuwa unaogopa!!!
Kila mtu huwa anasema hivyo... wengine kwa chigereza.. eettii FROM MY FRIEND...
Kama unaogopa fanya nilivyofanya mimi.....nilijitanguliza mwenyewe kupima siku mbili kabla ya kwenda kupima na dame.
kuna dada mmoja kaniambia sisi wanaume ni wagumu sana kwenda kupima na amemuacha jamaa yake kwa vile kakataa kwenda kupima vvu.je ni busara kumlazimisha mtu au unatakiwa umshauri?
kuna dada mmoja kaniambia sisi wanaume ni wagumu sana kwenda kupima na amemuacha jamaa yake kwa vile kakataa kwenda kupima vvu.je ni busara kumlazimisha mtu au unatakiwa umshauri?
ndiyo kama unataka kavu na kunyonywa nyonywa afu hutaki kupima.... nenda kapime huko ni zaidi ya busara
huyu dame mkaenda nae lini sasa!!!!!!!!