Why this katika uhusiano?

Why this katika uhusiano?

Itezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
389
Reaction score
95
Mapenzi ya kweli yaliisha tangu mwaka 47 sasa hivi umebaki usanii tu
 
Sio kweli mapenzi ya kweli yapo tu sema watu ndio wameamua kujitoa ufahamu
 
Wenye bahati zao hubahatika kuyapata ingawaje siku hizi yamekuwa nadra sana.



Mapenzi ya kweli yaliisha tangu mwaka 47 sasa hivi umebaki usanii tu
 
Last edited by a moderator:
hizo ni theories tu kila mtu ana version yake
..
 
Mapenzi mbona yapo tu. Tatizo la baadhi wanalazimusha wasiko pendeka. Ushaona wapi ww mapenzi ya kuonga na kuongwa yakadumu?!!
 
adapt kanuni zangu hutakuwa na muda wa kuwaza hayo kabisaaa na hutaumizwa kichwa na mtu
 
Nipende kama nilivyo blue ameshakwambia sasa ww unatanguliza pesa mbele unategemea nn
 
Mapenzi ya kweli yapo ila watu siku hizi wanaishi kwa mazoea, na kwa hiyo misemo ndo inafanya watu wanapoingia kwenye relationship wanakuwa na imani kwamba hakuna mapenzi ya kweli hata akipewa mapenzi ya kweli anajua anadaganywa tu.
 

Attachments

  • 1400774017375.jpg
    1400774017375.jpg
    7.5 KB · Views: 998
Back
Top Bottom