Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Za usiku wapenzi!!.
...eeeeh!!.umekuja fasta unadhani namsema mme wangu Arovera !! akhaaa...tunapeta tu.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari tv1 jioni hii pia nilipata ugeni ivo sikuwa peke angu...ikaja habari ya wanaume walioko kwenye ndoa na mahusiano kwa ujumla wanakung'utwa na wake zao mpaka wanaenda kushtaki polisi...hii habari imetokea arusha!!,na huyu akaniambia alishashuhudia mwanaume anadundwa analia kama mtoto! ndo maana nikaja huku,wengine wamedai wanawake ndo wanakuwa na kauli ndani ya nyumba kulingana na kipato chao kuwazidi waume zao pia wao ndo utunza familia...lakini ndo mwanaume upigwe kabisa hadi ukashtaki polisi?!.
duh!!.noma,nashangaa wanaume wa hivi kumbe wapo?!. eti lara1 na wengne wote hii kitu ya mwanamke kumtembezea kipigo kitakatifu mme wake na kumkunja ipo sawa kweli?!., eti wanaume hii imekaaje?!
usiku mwema!!.love u my solar system wherever you are my Arovera

Last edited by a moderator: