Nini maana ya maneno haya?

Nini maana ya maneno haya?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Mithali 10:1
1 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumba.vu ni mzigo wa mamaye.

DSC01629.JPG

CHIPS.PNG

Waione Ntuzu , Mtambuzi , ladyfurahia , Kaunga , charminglady , Samaritan AshaDii , Basluma Original , Mkuu wa chuo , Phlagiey , Karucee , ICHANA , Asprin , Mr Rocky , Kaizer , Ishmaeli , Heaven on Earth , lara 1 , Zinduna , Fixed Point , KOKUTONA , kyanaKyoMuhaya , Bujibuji na wengine mje mnisaidie tafadhalini!
 
​Mkuu Eiyer, samahani naleta commentary lakini ipo kwa kiingereza. Imetoka katika website ya biblehub.com.
Gill's Exposition of the Entire Bible

The proverbs of Solomon,.... This title is repeated from Proverbs 1:1; and very properly stands here; since here begin those pithy sentences of Solomon, which bear the name of proverbs; the preceding chapters being a sort of preface or introduction to them; in which Solomon recommends the study of wisdom, shows the profit and advantage of it, gives directions about it, and prepares for the reception of those wise sayings that follow; which are for the most part independent of each other, and consist generally of clauses set in a contrast to one another, and often expressed by similes and metaphors;

a wise son maketh a glad father; as Solomon made glad his father David: for no doubt there were appearances of his wisdom before he came to the throne, though greater afterwards; which made David rejoice that he was placed on the throne before his death, to whom he had committed the charge of building the house of the Lord;

but a foolish son is the heaviness of his mother; brings grief and trouble to her, as perhaps Rehoboam did to his mother: though all this is to be understood conjunctly of both parents, and not separately of each; not as if a wise son only was matter of joy to his father, who may be thought to be a better judge of his wisdom, and more abroad to hear the fame of it, and to observe the effects of it; or as if a foolish son only caused grief to his mother, because more at home, and more privy to his foolish behaviour; but as being equally joyous or afflicting to both parents. Nor is this to be understood of such who are wise and foolish as to their natural capacities only; but who are so in a moral sense, either virtuous or vicious, good or wicked. Wherefore parents should be concerned for the education of their children, whose behaviour much depends upon it; and children for their conduct towards their parents and in the world, since their joy and grief are influenced by it. Some interpret the words mystically, the "father", of God; the "mother", of the church; and, the "sons", of the children of them both: and so may fitly describe the different followers of Christ and antichrist; the one being wise, the other foolish; the one acceptable to God, the other not.
 
Nimeyakuza ili niyasome vizuri ....!
 
Always mtoto asipofanikiwa mama ndie hulaumiwa kwa kila kitu. Na mama ndie husononeka zaidi. Lakini mtoto akifanikiwa baba hujisifia na wala haikumbukwi kama mama aliwahi kuchangia lolote

Kama kawaida umekuja na kulaumu
Mna kazi sana nyie .......
Ni kweli kabisa unaamini kuwa Mungu alikuwa na mtazamo wako huu kusema hayo maneno?

Unajua ni kwanini hiyo dhana ya kumlaumu mama ilikuwepo?
Unafikiri ni kwanini mamam husononeka zaidi?

Ni kweli baba kujisifia au umesema hayo ili ujiridhishe tu?
 
Mkuu Eiyer kwa mtazamo wangu, naweza kuchambua kwa hapa chini na wengine wanaweza wakaongezea...

"Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye" - maana ya hii ni kwamba, wazazi huishi sehemu kubwa ya maisha yao wakiwaandaa wana wao; hivyo basi, ni furaha kuu kwa mzazi anapoona kuwa amefanikiwa kukuza mwana mwenye "hekima"
"Bali mwana -------- ni mzigo wa mamaye" - katika makuzi ya mtoto, mama huumizwa sana anapoona mwanaye amepotea; hufanya juhudi za ziada kuhakikisha anamrejesha kundini. Iwapo hata fanikiwa, hii huwa ombolezo lake la kila wakati. Hali ni tofauti na baba, ambaye mara nyingi ni strict; mwana akiteleza hana muda naye tena.

Tunaweza tuka Interpret kwa namna hiyo, pia tunaweza tukachambua zaidi...
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu ni kwanini huyo mzazi awe baba peke yake?

"Bali mwana -------- ni mzigo wa mamaye" - katika makuzi ya mtoto, mama huumizwa sana anapoona mwanaye amepotea; hufanya juhudi za ziada kuhakikisha anamrejesha kundini. Iwapo hata fanikiwa, hii huwa ombolezo lake la kila wakati. Hali ni tofauti na baba, ambaye mara nyingi ni strict; mwana akiteleza hana muda naye tena.

Tunaweza tuka Interpret kwa namna hiyo, pia tunaweza tukachambua zaidi...

Mkuu hii inawezekana lakini sio kwa kiwango kikubwa

MTAZAMO WANGU
Mkuu,nionavyo mimi ni kuwa nyakati hizo na hata kwenye kanuni na sheria za Mungu ni kuwa baba na mama wana majukumu tofauti kwenye familia

Mama yeye ni kulea wana jukumu ambalo ni la maana sana hata kuzidi yote kwani mwana huanzia hapa na hata maraisi bora na wabovu huanzia hapa na viongozi wote

Baba yeye ni kutafuta mkate wa kila siku na hata akija nyumbani yeye ni kutoa maagizo na amri mara nyingi kama sio zote

Sasa ukiyatazama hayo utaona kuwa mtoto anapikuwa mpumba.vu basi huwa ni aibu sana kwa aliyemlea ambae ni mama yake na ndio chanzo cha kuguswa na hilo na hatima yake ni kuhuzunika,kwenye suala la kumfurahisha au kuwa fahari ya baba ni pale ambapo kimsingi baba hufurahi pale ambapo mtoto anapikuwa anamtii sana bila kuleta upinzani pale baba anapokuwa nyumbani,lakini pia jukumu lingine la baba ni kuisimamia nyumba pamoja na mlezi wa wana hivyo kama baba atakuwa amemsimamia vyema mama ambae ni mlezi wa wana basi mama huyo atakuwa na msimamo kwa anaowalea pia na hilo kupelekea mtoto kulelewa kwenye malezi bora

Inapofikia hatua hiyo basi baba anapata heshima kwakuwa ameweza kutoa usimamizi kwa mama ambae ndio aliyemlea mwana ambae ni matokeo mazuri ya usimamizi huo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom