Ati Msingi Kiuno

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,680
2,000
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili amridhishe mwanaume.

Wapo mabinti wanaishi maisha mazuri sana kisa kiuno, Lakini cha kushangaza siku hizi wapo vijana wa kiume nao wamefanya viuno vyao mtaji, si wacheza shoo, bali ni wazinzi.

Wanafanya ngono na akina mama wenye uhitaji kwa malipo maalum ni machangu wa kiume ila hawajulikani sana na wanafanya kwa siri sana.
 
Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250

[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]
 
gumboot

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
263
0
Thread gani hii sasa unataka wanaume wanaojiuza nao wapewe majina mengi wanawake machangu na wanaume si mashoga ila sijaipenda...
 
DuppyConqueror

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
9,439
2,000
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili amridhishe mwanaume.

Wapo mabinti wanaishi maisha mazuri sana kisa kiuno, Lakini cha kushangaza siku hizi wapo vijana wa kiume nao wamefanya viuno vyao mtaji, si wacheza shoo, bali ni wazinzi.

Wanafanya ngono na akina mama wenye uhitaji kwa malipo maalum ni machangu wa kiume ila hawajulikani sana na wanafanya kwa siri sana.

Mkuu kweli dunia imebadilika. Eti sasa imefikia wakati mwanamke anamlipa mwanaume ili ashugulikiwe..
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,680
2,000
Mkuu kweli dunia imebadilika. Eti sasa imefikia wakati mwanamke anamlipa mwanaume ili ashugulikiwe..

nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake
 
Ndetirima

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
956
1,000
Thread gani hii sasa unataka wanaume wanaojiuza nao wapewe majina mengi wanawake machangu na wanaume si mashoga ila sijaipenda...
Jina sio Mashoga.

Wanauliza wanaume wanaojiuza kwa wanawake wakubwa wenye pesa ili kuwafurahisha kimapenzi waitweje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom