Mfumo dume upo na utaendelea kuwepo

Mfumo dume upo na utaendelea kuwepo

romaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
477
Reaction score
218
Unakuta msichana/mwanamke anajifanya mjanja sana na muongeaji sana lakini outing bill analipa mwanaume, huo ni mfumo dume la sivyo basi tu share hizo bill za Nyumba outing na matumizi, sijawahi kwenda bar au hotelini na mwanamke halafu bill anapewa mwanamke mara zote napewa mimi nilipie hii ina maana mfumo dume ndo unaongoza jamii ya sasa na ijayo Kwa hiyo Akina dada tulieni tu na kutuheshimu mambo ya mara oh haki sawa hayapo, Kama kweli mnataka haki sawa basi tu share na hizo bili ehee si haki sawa?
 
Wakati mwingine mfumo dume upo kisaikologia zaidi. Mwanamke ambaye ni msomi na anauwezo kiuchumi bado anataka kubebwa na mwanaume kwa vile tu ni mwanamke.
Ni suala la muda. Hata ulaya walikuwa nao miaka ya nyuma. Angalia sehemu za vijijini ambako polygamy ilikuwa kitu cha kawaida inakufa kwa sababu za kiuchumi.
 
Mmmmmmh! Njaaa mbaya sanaaa! Ni uchumi dhaifu lakini ndo maana wananchi wanajikuta wanahesabu VI FAVOR NA VI TREAT vidogo vidogo! Mi nikiwaga na hela ya mboga n in good mood nawanunulia hata watu wa jinsia yangu vi offa, offa!

Bora hata ukumtreat mwanaume itaonekana walau unaambulia FREE P, ila nawapa tu watu hawanisaidii chovhote just to put a smile on their faces. If i can afford it why not?

Watoto wa mtaani wanaipendaje sasa? Aunty nikifurahi nawatoa Icecream ya kg 2, mpaka mama zao wanakuja kunilaumu kifua, au keki! Wanafurahiii and its priceless!

UKIWA NA ROHO YA KUHESABU HESABU VITU VIDOGO HAWSWAAA CHAKULA NI DHAMBI AFTERALL CHAKULA KINAISHIA TU UANI! Ila i dont blame you i blame POVERTY AND OUR UNSTABLE ECONOMY!
 
Wakati mwingine mnachunwa in the name of mfumo dume

ni bora kuchunwa kuprotect uanaume wako, ila binadamu tuko tofauti wako wanaojuwa appreciate ni nini na wako wenye roho za kimaskini, ukiona huyu mwamke siyo let her go.
 
Mmmmmmh! Njaaa mbaya sanaaa! Ni uchumi dhaifu lakini ndo maana wananchi wanajikuta wanahesabu VI FAVOR NA VI TREAT vidogo vidogo! Mi nikiwaga na hela ya mboga n in good mood nawanunulia hata watu wa jinsia yangu vi offa, offa!

Bora hata ukumtreat mwanaume itaonekana walau unaambulia FREE P, ila nawapa tu watu hawanisaidii chovhote just to put a smile on their faces. If i can afford it why not?

Watoto wa mtaani wanaipendaje sasa? Aunty nikifurahi nawatoa Icecream ya kg 2, mpaka mama zao wanakuja kunilaumu kifua, au keki! Wanafurahiii and its priceless!

UKIWA NA ROHO YA KUHESABU HESABU VITU VIDOGO HAWSWAAA CHAKULA NI DHAMBI AFTERALL CHAKULA KINAISHIA TU UANI! Ila i dont blame you i blame POVERTY AND OUR UNSTABLE ECONOMY!

Kula hakumalizi hela ati...!!
 
lara 1 ,thanks for that note!
 
Haahaha....babu mlinzi nae ukimpiga kizinga analialia?hhahaaa upo weweeeee?

hahaha! Weee kibabu nakikomba hadi sh 100 ya sigara akianza kuchonga namwambia ' shshhhhiii unakumbuka juzi umeiba mbao za shule??' anaufyata !! Nipo bana umuhudumie mkeo mfumo dume unasema!
 
Hata me nashangaaa. Kama mmependana obviously mtaheshimiana na mtaoneana huruma kuanzia mifuko yenu na maisha kwa ujumla. Ukiona hivo jua you are the provider so if you'll stop providing the love will stop too.:smile::smile:
Some times mue mnaelewa, kama unatafuta mke hata nkufanya mtoaji bali atashiriki kwenye utoaji.
Kama ni hanging out then as long as wewe ndiye unayesuggest outing lazima utoe. So kama huhitaji majukumu hayo tafuta mke mwema mshirikiane kwenye furaha na machungu pia.
 
binafsi hua sisubiri nilipiwe bill
marafiki sioni shida kuwanunulia!!
 
Unakuta msichana/mwanamke anajifanya mjanja sana na muongeaji sana lakini outing bill analipa mwanaume, huo ni mfumo dume la sivyo basi tu share hizo bill za Nyumba outing na matumizi, sijawahi kwenda bar au hotelini na mwanamke halafu bill anapewa mwanamke mara zote napewa mimi nilipie hii ina maana mfumo dume ndo unaongoza jamii ya sasa na ijayo Kwa hiyo Akina dada tulieni tu na kutuheshimu mambo ya mara oh haki sawa hayapo, Kama kweli mnataka haki sawa basi tu share na hizo bili ehee si haki sawa?

wakitaka na wao waonekane wanaume basi wakojoe wakiwa wamesimama, wandindishe, wasitanue miguu, wasiingie mwezin, wasipate mimba hapo nitawakubali lakin lasivyo wanajidanganya
 
mbona huwa tunalipa au huyo ulonae ndio mkono mfupi
 
Back
Top Bottom