umefikisha post 29 hadi sasa ongeza bidii....hata mbuyu ulianza kama mchicha
Hahahah mpaka afikie jf expert member
Hahahah mpaka afikie jf expert member 
Ukienda kumbi za starehe usiku huwezi kukuta wadada wakijiuza safi sana hii
Kwahyo hupendagi wanaojiuza?
How? Kutwa nzima anatafuta madanguro ya musoma..