Mtihani alionao rafiki yangu

Mtihani alionao rafiki yangu

KASINYE

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
85
Reaction score
24
Nina rafiki yang 1 alikuwa na mpenzi wake alidumu naye takriban miaka 2, jamaa alimpenda sana demu udhaif alioutumia demu kumnyanyasa jamaa kimapenz kwa kuwa na mchepuko, jmaa aliteseka sana na kwakuwa alompenda demu alivumilia ikafikia hatua jamaa akataka kuwafumania awafanye mbaya.Nilimshauri asifanye kitu kama hicho na cku ya tukio nilimchukua nikampeleka kwenye bustan ya maua tukapiga stori ili apoteze hayo mawazo. Kwa namna alivyokuwa kazama ilifikia hatua hadi kazini akaanza kuvurunda nimekomaa sana kumshawish jamaa aachane na demu huyo japo hakuwa tayari. Mungu saidia jamaa akasikia ushaur wang akapoteza mawasiliano na dem.Chaajab ni takriban mwezi 1 leo dem akampigia simu jmaa kumtaka wakutane sehem alikuw na maongezi nyeti, jmaaa kanishirikisha nikamwambie tukamsikilize demu hakuwa na stori za maana zaid ya kumtaka jamaa amsamehe warudiane na demu yuko tayari ku-conceive ili kumwamknisha kuwa kabadirika sasa wanajamvi tusaidiane kumshauri ndugu yetu nin afanye?
 
Aachane nae kwa.hiyo alimfanya jamaaa spare tyre ya kibajaji
 
Eti demu yupo tayari ku conceive kumhakikishia kuwa kabadirika. Nawashauri hiyo ishu iacheni kama ilivyo mkishakuwa wanaume mtajua jinsi ya kuisolve.
 
Kuna viporo vingine havifai ata kupasha.Na ata akiconceive anaeza ata kumbemenda mtt uyo.
 
uskute tayari ana mimba haina mwenyewe anataka kujirudisha kijanja

Hapo umenena miss neddy. Huyo atakuwa tayari kanasa anataka ambambikie jamaa kijanja kuna uhusiano gani kati ya kuconcieve na mapenzi? Eti aconcieve ndo aonekane amebadilika duh! Ashaconcievishwa tayari huyo
 
Hapo umenena miss neddy. Huyo atakuwa tayari kanasa anataka ambambikie jamaa kijanja kuna uhusiano gani kati ya kuconcieve na mapenzi? Eti aconcieve ndo aonekane amebadilika duh! Ashaconcievishwa tayari huyo

hahahahaa kaka wa watu akimrudia kichwa kichwa analo
 
Hapo ni mbio ndugu,acheze naye mbali kabisaaaaaaa.Amblock kotekote
 
Mwanaume Msimamo.

Sio unakaa kuendeshwa na sketi tu.

Huyo demu ameshamuona jamaa yako zoba ndo mana anamuendesha atakavyo.

How comes unaachana na mtu then unarudi tena kusikilizana tena vitu visivyo na msingi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom