Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Naandika huu uzi nikiwa kwenye uzuni na upweke mkubwa sana!!..sina raha nahisi maumivu makali moyoni mwangu yasiyoelezeka!!.
Arovera mpenzi wangu... unasafiri unaenda mbali,unaniacha peke angu mwenzio,hata kama si kwa mda mrefu sana kwangu naona zaidi ya mwaka!!..ukilinganisha na nilivyokuzoea nashndwa kabisa,nyumba kubwa,kitanda kikubwa,baridi kali,.ataniogesha na kunilisha nani mpnz?!..nenda salama najua yote ni kujenga maisha mazuri watoto wetu waishi vyema ila usisahau nakupenda zaidi ya jana!!.
salamu ziwafikie wana jamii forum wote!!.hubby wangu anasafiri kidogo pia anaweza kuwa kimya anawatakia mbaki kwa amani..
poor me!!.

Last edited by a moderator: