TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Shost mmoja anabwanaake ana miaka nae saba kwenye mahusiano, cha ajabu kila akiingizia habari za kuoana uyo mwanaume anachenga kibaya zaid mwanaume yupo mkoa mwingne na mwanamke yupo mkoa mwingne na hawajaonana wana miez nane sasa.
Wamejenga nyumba wote na mwanamke ndio msimamia mafundi mvua yake jua lake kisa saiti na mumewe mwanaume ataki ndugu mwanaume kila analotenda mwanamke kwake baya.
Na shost ndio mahaba nidondokee nikufiee.
Mnamshauri vipi mtu huyu wana JF.