Kupenda Haina Adabu.

Kupenda Haina Adabu.

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu.
Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza kumjibu chochote kwa kuwa ni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Sikuamini macho yangu jioni hii kukutana tena na huyu mdada akiwa yuko peke yake, niliamua kumsalimia na bila kupoteza muda akaniomba namba zangu za simu nilimjibu anipe za kwake na akanipa.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.
 
Mpotezee fasta, ni inbox namba yake nikusaidie kumpotezea!
 
ni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.
Yani kusifiwa ndo uajabu, mi nakuona we ndo wa ajabu

atakuwa na nia ya kukubaka, ushauri wangu mpotezee....
 
Mmmnh..... Nimejikuta natabasamu kikongwe mie...Watoto mna kazi sana..!!
 
Atakua jini uyo sio bure na hv umekutana nae asubuh na jion tena sasa nenda uone kama hajakunyonya macho
 
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu.
Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza kumjibu chochote kwa kuwa ni jambo la kushangaza kidogo kwa mwanamke kudhubutu kumwambia mwanaume umependeza.
Sikuamini macho yangu jioni hii kukutana tena na huyu mdada akiwa yuko peke yake, niliamua kumsalimia na bila kupoteza muda akaniomba namba zangu za simu nilimjibu anipe za kwake na akanipa.
Dah! Sijui ana nia gani na mimi, ananipa wasiwasi sana. Wana jf sijui nimtafute au nimpotezee, naombeni ushauri wenu.

natamani kuwa mtoto...
 
Back
Top Bottom