Kwanini mliachana hebu tuambie

Kwanini mliachana hebu tuambie

DOMINIC FRANCIS

New Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
1
Reaction score
0
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
 
ziko kadhaa unataka kusikia number ngapi......??
 
kuachana ni kuachana tu,so long as mmeamua kuachana basi ndo mmeachana na hapo inakuwa hakuna mjadala tena,au?
 
Nilikutana na mwingine zaidi yake
 
up the guts.. ... ( a big run in rugby)

it's on for 2011 .... ( wanacheza sasa "rugby world cup is on now)

ahsante kwa udadavuzi,wewe rugby mchezo wa kitasha,sisi wengine huku msasani mandazi road hobby yetu kucheza kiduku!
 
ahsante kwa udadavuzi,wewe rugby mchezo wa kitasha,sisi wengine huku msasani mandazi road hobby yetu kucheza kiduku!

na sio uwe umetoka kula dagaa....useme unaenda kucheza Rugby....takufya......
 
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
Tuliachana kwa sababu muda wa kuachana ulifika....! Vinginevyo, nawe subiri maana siku ukiachana utapata jibu sahihi....!
 
Back
Top Bottom