Maneno tu, mtu anasaula mwenyewe!

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Katika mambo ambayo Mwanaume kajaaliwa ni vile kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke hadi akakubali kusaula kila alicho kivaa na kubaki mtupu!hata kama msichana ana aibu au ana cheo kikubwaaa, akipigwa yale maneno atatoa tu na kuanza kujifunika ngumi wakati ametoa mwenyewe!

Hebu we mdada tuambie kiwango cha alcohol ya maneno ya wanaume ambacho kinacho wafanya muanze kutoa nguo bila hata kushikiwa mtutu wa bunduki,tena mnatoa zote na kujikabidhi kwa mwanaume huku mkiwa na sura ya kihurumahuruma !Kinadada hebu tuambieni baadhi ya maneno mliyo ambiwa na muwapendao hadi yaka wavulisha nguo ilihali mnaakili timamu.

Mwanaume unakumbuka maneno gani ulimwambia yule binti hadi akapoteza aibu kuu na kuanza kusaura?mwaga jamvini!
 
Ha,ha,ha,ha,haaaa sweetie si uwaambie zile vesi zilivyokuchanganya mpaka ukasema plz twende ukanipe....Lol!
 
Si verse bali ni tabia ambayo kwavile tulikuwa mbali2 that time; niliifahamu kwa kupitia michango yako kwenye nyuzi ndio maana nikakupa za USO!
 
Nitasaula ikiwa nina feelings na jamaa, maneno yake yanakuwa kama vile ni nyongezo. Lakini kama sikufeel hata upige tarumbeta, wewe haujawahi kusikia kuna watu wanabaka....kwanini hapa maneno yasiweze kusaidia?
 
nilisaula kwa nimpendaye kwa tabia zake njema zilizonikonvisi na ila kwa yale maneno haya ndo yatakuwa maisha yako yalinishawishi sana.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.

Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!
Ukumbuke kuwa waweza mpenda mtu kwa mistari yake pia! Shangaa wasanii wanavyovuruga mitaani!.
 
Nitasaula ikiwa nina feelings na jamaa, maneno yake yanakuwa kama vile ni nyongezo. Lakini kama sikufeel hata upige tarumbeta, wewe haujawahi kusikia kuna watu wanabaka....kwanini hapa maneno yasiweze kusaidia?
Mi nataka unifeel tione kama utasaula..tehetehee..
 
Katika mambo ambayo Mwanaume kajaaliwa ni vile kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke hadi akakubali kusaula kila alicho kivaa na kubaki mtupu!hata kama msichana ana aibu au ana cheo kikubwaaa, akipigwa yale maneno atatoa tu na kuanza kujifunika ngumi wakati ametoa mwenyewe!

Hebu we mdada tuambie kiwango cha alcohol ya maneno ya wanaume ambacho kinacho wafanya muanze kutoa nguo bila hata kushikiwa mtutu wa bunduki,tena mnatoa zote na kujikabidhi kwa mwanaume huku mkiwa na sura ya kihurumahuruma !Kinadada hebu tuambieni baadhi ya maneno mliyo ambiwa na muwapendao hadi yaka wavulisha nguo ilihali mnaakili timamu.

Mwanaume unakumbuka maneno gani ulimwambia yule binti hadi akapoteza aibu kuu na kuanza kusaura?mwaga jamvini!

nyuli mdogo wangu ulitaka mwanamke asaule baada ya kufanyiwa nini? kupewa zawadi pekee bila maneno matamu? Au pesa? Maana najuwa pesa inaweza kumsalaulisha changudoa na siyo mwanamke mwenye heshima zake! Acha tutumie triki hii hii ya mdomo. Mi kwa kweli naona nikiweka nyama ya ulimi mbele ya mdada, mwaga sifa pale na kuonyesha utulivu na kujali, nyunyuzia na vizawadi huwa nashuhudia nguo zinavyodondoka zenyewe! Hiyo ni kawaida kabisa, haina tatizo.
 
Last edited by a moderator:
tatizo hua tunachukulia wanawake kama vile wao hawanaga haja ya ngono na wao kutuvulia sisi nguo ni kutuhudumia.
hii sio kweli hata kidogo. walichonacho wanawake (sio wote) ni aibu ya kujieleza, na wanachokifanya wanawake (sio wote) ni kutunza dignity yao. kwamba akikwambia bwana me nataka unigonge utamwona kicheche, ndo maana weengi hutongoza ila kwa ishara sio maneno. pia ukimtongoza nanona kama akikubali haraka utawona kicheche so ili pia aone kua upo serious anataka akusumbue kidogo.
wanawake huwatamani wanaume kama wanaumme wanavyo wantamani wanawake.
 
akikuvulia nguo maana yake na yeye anataka starehe kama wewe ulivyomtongoza ili upate starehe........

kwa ufupi jinsia hizi zinahitajiana ili kukidhi haja za mwili haina uhusiano na utimamu wa akili.....au lengo la kutongozana ni nini? kama sio kuvuliana na kupeana utamu?
 
Nikopenda mwenyewe sihitaji maneno na ninaweza kuyatoa hayo maneno mwenyewe na mwanaume akasaula hata kama ni Mkuu wa majeshi.

Nisipokupenda hata uumpe mistari diamond, sivui hata Miwani ya jua usiku!

thank you...
 
akikuvulia nguo maana yake na yeye anataka starehe kama wewe ulivyomtongoza ili upate starehe........

kwa ufupi jinsia hizi zinahitajiana ili kukidhi haja za mwili haina uhusiano na utimamu wa akili.....au lengo la kutongozana ni nini? kama sio kuvuliana na kupeana utamu?

you are very smart
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom