Wasichana mnajisikiaje pale mnaposifiwa na wenzi wenu?

Mar 2, 2011
86
20
Mara hii nakuja na swali kwa dada zangu mnisaidie:- hivi huwa mnajisikiaje pale ambapo mpenzi/mumeo wako anapokuwa anakusifia sana kila wakati au kila siku na hata mara mbili au zaidi kwa siku?

KAMA HIVI:
MFANO #1 . Ona mpenzi wangu ulivyo mzuri, kwa kweli nakupenda sana and my promise to you is: nitakupenda kwa moyo wangu wote kwa kadri Mungu anavyoniwezesha kila siku, nitakuwa mwaminifu na mkweli kwako siku zote za maisha yetu.

#2 . Mpenzi nakupenda sana, namshukuru Mungu aliyetukutanisha pamoja, nayo furaha yangu itatimilika siku Mungu akitufanikisha tukaoana kwa ndoa takatifu, yaani baby you make me feel peculier in this world, I always see you in my heart every time.

#3 . Baby I love you so much, umenifanya niwe huru sana, na macho yangu hayawezi kumtizama mwanamke yeyote kwa kumtaka kimapenzi sababu ya wewe, umejaa moyoni mwangu baby, kila wakati na kila saa nakuwaza tu, can't imagine siku tunaoana maana sasa ni miaka... imepita na moyo wangu haukusita wala kuwa na hofu juu yako bali kila siku imekuwa ni valentine day reguardless of the distance btn us.

Mf. #4 . Ona mpenzi wangu jana nilikupenda sana kuliko juzi, na leo nakupenda sana kuliko jana na kesho nitakupenda sana zaidi ya jana na juzi..... n.k. n.k

KUMBUKENI: Kila ukiwa naye mpenzio hakosi cha kukusifia, na inapotokea tu mko mbali kidodo ndo msg kibao anakutumia kila wakati kukusifia tu. na sio kwamba ndo anakutongoza la!! mlisha kubaliana kwamba mtaoana na hata urafiki wenu yamkini ushamaliza miezi sita au zaidi au wengine wanakuwa ni wana ndoa tayari.

wadada naombeni mtazamo wenu kwa hili. nimewatolea na mifano kabisa ili mnielewe. kazi kwenu... karibuni kwa michango ya maoni.....
 
itabidi nichunguze kama yanatoka moyoni au mdomoni tu mengine anaweza kusifia sifa ambazo hata hauna mfano:Akuambie mpenzi una mguu mzuri yani ule wa kihaya wakati we unajua dhahiri unao wa kinyiramba badala ya kunifurahisha ataniuzi
 
Bado mpya huyo!!! Subiri ipite miaka mi2 uone kama zitakuepo hzo baby dear honey sweety etc
 
km mimi poa na kawaida tu zen yanazoeleka masikion tunasonga cz kila mtu anasifia kwa nafasi yake:bump2:
 
Sipendi maneno mengi muda wote. . . YANACHOSHA.

sasa ni mpenzi wako na unaona kabisa anayokuambia ni kweli yanatoka moyoni bcoz hata matendo yake pia yanamaanisha kukupenda kwa dhati, JE UTAMWAMBIA HUTAKI AKUSIFIA NA KUKUAMBIA/KUKUAHIDI YALIYO MOYONI MWAKE AU UTANYAMAZA TU, AU UTACHUKUA HATUA GANI??

When a man ask a woman for marriage and truly mean it; you should now know that you are the right partner for him.
 
Bahati nzuri sijakutana na hao wanaoimba nakupenda 24/7
Napenda kupewa kidogo kidogo kama majani kwenye chai na sio maji kwenye uji. Hamna haja ya kuchoshana na "Nakupenda, Nakupenda". . . peaneni muda wa kupumua na kumiss hayo maneno ili hata siku ukiyatoa yawe na uzito wa kutosha, pia yamfanye mwenzio atafakari hata kama mlikua na kaugomvi aone ana sababu ya kukusamehe. Sio unamzoesha mtu kama vile maharage magereza mpaka anakinai.
 
kwa hiyo ukikutana naye au ungekutana naye ungefanya je?? Umenipa hamasa ya kujua uamuzi wako ktk hili kwa vile mimi kweli huwa sipendi sifa za kila wakati ila niliitoa mada hii kwa vile juzi tulikuwa sehemu kikundi cha wadada na wakaka wadada wale walikuwa wanadai huwa wanajisikia raha kusifiwa na wapenzi wao wakidai NI NJIA AMBAYO INAWAONESHA NI JINSI GANI MPENZ/MUME WAKE ANAMFEEL. Sasa Lizzy nimekupata uko tofauti na hawa. Jibu please hapo kwenye red.
 
itabidi nichunguze kama yanatoka moyoni au mdomoni tu mengine anaweza kusifia sifa ambazo hata hauna mfano:Akuambie mpenzi una mguu mzuri yani ule wa kihaya wakati we unajua dhahiri unao wa kinyiramba badala ya kunifurahisha ataniuzi

So unafikiri ni miguu ya KIHAYA tu ndiyo mizuri? Uzuri wa kitu si upo kwenye macho yake, pengine anakusifiia kwa sababu anaipenda hiyo ya kinyiramba na siyo vinginevyo. When you accept yourself you will have a chance to enjoy life and feel free about anything. kuna wengine hawawezi kuvaa mini skirt et kwa sababu hawana miguu ya bia, mbona wazungu wengi wanavispido lakini ndiyo wanaongoza kuvaa mini skirt? ACCEPT YOURSELF AND THINGS WILL GO AND WORK SMOOTHLY.
 
kwa hiyo ukikutana naye au ungekutana naye ungefanya je?? Umenipa hamasa ya kujua uamuzi wako ktk hili kwa vile mimi kweli huwa sipendi sifa za kila wakati ila niliitoa mada hii kwa vile juzi tulikuwa sehemu kikundi cha wadada na wakaka wadada wale walikuwa wanadai huwa wanajisikia raha kusifiwa na wapenzi wao wakidai NI NJIA AMBAYO INAWAONESHA NI JINSI GANI MPENZ/MUME WAKE ANAMFEEL. Sasa Lizzy nimekupata uko tofauti na hawa. Jibu please hapo kwenye red.

Itabidi nimwambie tu ukweli kwamba "babes, napenda sana ukinisifia na ukiniambia hisia zako juu yangu na mimi nakupenda pia ila naomba isiwe kila saa. Nipe angalau muda kidogo wakumiss maneno yako matam matam." au "Kheeee. . .We nawe kila saa na 'NAKUPENDA , NAKUPENDA'. Kwani imekua dozi ya malaria?
LOLZ
 
NIMEIPENDA HII (HAPO kWENYE BLUE) MY LIZZY
 
NIMEIPENDA HII (HAPO kWENYE BLUE) MY LIZZY

moyoni she realy need akutane na mtu atakaemwambia hayo maneno.ila anajua wanaume wanabadlika anytime.mimi akika mke wangu akija niambia namkera kwa kumwambia nampenda nyumba dogo itamuhusu naitakuwa wazi sitaficha hata simu nitaiweka wazi ili aone ninavyozitoa izo i love kwa warembo wengne.wenzake wameolewa miaka5 ajawai sikia nakupenda wala kutoka out na mmewe.ila si mbaya anadanganya through keyboard
 
Kwahiyo wewe mkeo akitaka/furahia kuambiwa kila sekunde basi kila mwanamke inamhusu? Jifunze kua watu tunatofautiana. . . mimi sipendi wala sichukii kitu kwasababu kuna watu hawapati au sijui mtu atanibadilikia kama unavyodai utahamishia majeshi nyumba ndogo ila kwasababu mimi napenda au sipendi.
 
Itategemeana na mwanamke mwenyewe yukoje! Kuna mwingine hata umwambie l love u wala haimkolei hata kidogo.
 
kama anaimbaimba sana mashairi kama hayo kila wakati si afadhali arekodi kwenye CD kabisa ili anytime ukihitaji unasikiliza... it gets kind of boring yakirudiwarudiwa sana; halafu kwa baadhi ya wanaume, hilo huwa ni changa la macho tu wakati wa penzi changa, but with time huwa yanapotea kama shilingi ya mkoloni...
 
Na most of boys wenye katabia ka kukusifia kila saa bs ujue mko wengi na behind those words kuna wenzako wanafichwa ili ubaki kuwa blind ukipumbazwa na maneno yake. Napenda kusifia /kusifiwa ila isiwe too much! Kha!
 
halafu unaweza kuta kila mmoja anaimbiwa single hiyo hiyo ili ajione spesho kumbe kamba tu...
 
Back
Top Bottom