TUJADILI: Lawama na Kulalamika ndani ya Ndoa

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,717
9,510
Habarini mabest

Awali ya yote namshukuru Mungu kuniweka hadi hii leo , navuta hewa safi, niko ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii wako wengine hawajaiona sembuse mm ambaye Mungu amenionesha ni nanini cha kumrudishia pasipo
kumshukuru basi bestito nawe nivyema kushukuru kwani ndiko huleta baraka njema.

Marafiki leo TUJADILI mambo makuu mawili

LAWAMA NA KULALAMIKA

Katika Lawama: Nitatolea mfano katika NDOA nyingi wengi wa wanandoa hususani WANAUME (Mwanzo 3:12)
Ni pale adamu alivyotoa lawama kwa Mungu dhidi ya mwanamke Eve alivyofanya kula tunda la kati la ujuzi wa mema na mabaya ,
Wanaume wengi hawaridhishwi na mambo ya wenzi wao hasa katika masuala mbalimbali yahusuyo maisha, au mapendo ya dhati wengi wao wanakuwa lawama pale wanapoona jambo au kitu kimekwenda vile wasivyotarajia, na wengi wao wamejawa na kulaumu pasipo kuchukua hatua ya ziada kulikabili jambo hilo na kulipa ufumbuzi wake. Kwanini usiweze kukaa na kujadili na mwenzi wako na kutatua huo mgogoro wa ndoa kuliko kumsema mwenzio na kutoa shutuma, lawama nyingi Ningejua nisinge......... haya yote yanatoka wapi bestito jamani? kwanini Wanaume mmekuwa watu wa shutuma, lawama mwanzo mwa januari hadi desemba? hivi ndivyo kuishi kwa upendo na wake zenu au magelofrendo zenu?

Katika Kulalamika: Nitatolea mfano kwa Wanawake wanakuwa wakulalama sana wakati mwingine katika mambo yao wanakuwa wako sahiihi lakini wanashindwa kuyarepresent kwa maahaziband wao (wenzi) vile inavyotakiwa mwishowe wanakuwa watu wakulalamika mbona hukunifanyia hili ilimradi tu ni kulalamika bila sababu yoyote.

Marafiki nimeongea kwa ufupi najua nanyi mnayo mengi ambayo tutashare hapa na kuchukua ufumbuzi wa matatizo haya mawili ya kulaumu/shutuma na kulalamika kwa pande zote jongeeni mtoe maoni yenu Je kwanini katika ndoa nyingi zinaparang'anyika kwa mambo haya LAWAMA/KULALAMIKA tufanye nini ili kudhibiti hali hizi je ni tabia ya mtu mwenyewe jinsi alivyo amekuwa mtu wa kulalamika na kutoa lawama tu bila msingi wowote?

Wasalaam,

Ladyf

cc: Mtambuzi, Mamndenyi, Excel, mwallu, Erickb52, nitonye, The secretary, Ruttashobolwa, Passion Lady, charminglady, Kongosho, snowhite, Bujibuji, @Vislay, kabanga, Joe Nyandigira, amu, utafiti, Slave, Chocs, Young Master, mwekundu, Tized, Blue G, Husninyo na wengine wote 
Last edited by a moderator:
besti hujaelewa kabisa hapo mbona nimeleezea kwa kifupi na kueleweka bestito

yaani tujadili LAWAMA NA KULALAMIKA ndani ya familia na ndoa? sasa hapa nadhani utakuwa umeelewa shostito
Maskini mimi kichwa changu kama boga la kiangazi halafu sijaelewa.
:eek::eek:
 
besti hujaelewa kabisa hapo mbona nimeleezea kwa kifupi na kueleweka bestito

yaani tujadili LAWAMA NA KULALAMIKA ndani ya familia na ndoa? sasa hapa nadhani utakuwa umeelewa shostito

Nimeshaelewa jamani ee asa kwa mfano weye huyo mume wako analalamika nini??
 
..." ladyfurahia"ni kwanini wanawake mlio wengi mnapenda kuomba mahitaji yenu pale mchezo unapokaribia kuanza ndani ya 6x6, ?
 
best hapo tunajua kwa namna moja ama nyingine tutapewa kwani tunajua tusipofanya hivyo baadaye mtatutupia lawama bure
..." ladyfurahia"ni kwanini wanawake mlio wengi mnapenda kuomba mahitaji yenu pale mchezo unapokaribia kuanza ndani ya 6x6, ?
 
Umesema vizuri ladyfurahia.

Mi nimechagua KUTOKULALAMIKA. Kwa yalitotokea kwa makusudi/Bahati mbaya: silaumu wala sipendi kulaumiwa. Kitu kimetokea, NDIO ni kosa >[onyaneni, kumbushaneni na rekebishaneni].... LAWAMA HAZILETI MAJIBU.

Cha muhimu ni kukumbushana, kuzungumza, kurekebishana na kuonyana na kutafuta ufumbuzi wa vitu. Tunarudi kuangalia ya nyuma ili kujifunza kwa yaliyotokea na namna ya kutoyarudia yale yalioonekana kutuumiza.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu kwani lawama na kulalamika hakujengi bali kunabomoa ndoa
Umesema vizuri ladyfurahia.

Mi nimechagua KUTOKULALAMIKA. Kwa yalitotokea kwa makusudi/Bahati mbaya: silaumu wala sipendi kulaumiwa. Kitu kimetokea, NDIO ni kosa >[onyaneni, kumbushaneni na rekebishaneni].... LAWAMA HAZILETI MAJIBU.

Cha muhimu ni kukumbushana, kuzungumza, kurekebishana na kuonyana na kutafuta ufumbuzi wa vitu. Tunarudi kuangalia ya nyuma ili kujifunza kwa yaliyotokea na namna ya kutoyarudia yale yalioonekana kutuumiza.
 
Ukivurugwa haina haja ya kulalamika cousin,unachukua hatua stahiki maana kuna wengine ukilalamika ni kama wampigia zeze!
 
Mie najua kulalamika kitandani asa sijui na hiyo nayo ni kero.

napenda sana wanawake wa aina hii!

yani nikipataga wa hivi, basi mgegedo hupata presha na kufanya kazi kama driller mbele ya mwamba wa dhahabu! lol
 
Back
Top Bottom