Imekaaje:Passwords katika simu ya mkononi!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.
 
Wakati unamkimbia huyo siku hizi pasiwedi mpaka kwenye vyupi
 
sio lazima kuweka bandiko kuchangia tu inatosha

Post zako nyingi humu zina walakini,huwa huna hoja zako unadandia hoja za watu na kuziharibu,jipime kama unafaa kuendelea na JF!
 
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.

Yaani umeniwahi,kuna dada mmoja jirani yetu alipata ajali wasamaria wema wakamkuta ana simu mbili bahati nzuri ile simu moja haikuwa na password ndio tukapigiwa tukamkuta amepoteza damu nyingi lakini hata hivyo tulimkimbiza hospitalini Aga Khan na alipona. Mimi binafsi nilijifunza kitu kikubwa sana kuhusu passeord ktk simu.
 
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.

maneno ya kuambiwa changanya na yako mwenyewe
 
Back
Top Bottom