Vifuatavyo ni viashiria kwamba mwenzio hakuhitaji tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifuatavyo ni viashiria kwamba mwenzio hakuhitaji tena

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by shaliza, Aug 29, 2011.

 1. s

  shaliza Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mfuatiliaji sana wa forum hii ya mahusiano na mapenzi,urafiki katika kipande hiki nilitaka niwahabarishe wenzangu ambao mna marafiki,wapenzi au hata wachumba ambao mna ndoto za kuja kuishi nae pamoja kama mke na mme. zifuatazo ni dalili kwamba mwenzio hakupendi au moyo wake haupo nawe katika safari nzima ya mapenzi.

  dalili ya kwanza atakuwa ana visingizio vingi visivyo na maana yeyote,mara leo atakuambia hili mara kesho atasema hili ili mradi tu msiwe nae karibu au atajifanya ana safari nyingi ambazo hapo mwanzo hakuwa nazo.

  dalili ya pili,atakuwa mvivu hata kukutafuta hewani hapa,na hata ukimpigia simu yake mda mwingine unaweza kuikuta iko bize au hata kabadilisha naba ili mradi usimgasi yaani yuipo na wewe tu kama picha la sanamu lakini akili yake na mopyo wake upo kwingine kabisa. kama alikuwa anakutumia meseji fupi taratibu ataaacha mwisho wako ataacha kutuma kabisa.

  dalili ya tatu mkiwa nawe hataki uguse simu yake au unaweza kukuta ameweka namba za siri ( I mean password)kwenye sehemu meseji inapoingilia( inbox message) ukimuuliza anakuja juu kama moto wa kifuu jua hapo mwenzangu unazungukwa kizungu mkuti.
  dalili ya nne hataki kujishugulisha na wewe kama alikuwa anapenda kujua umeamkaje ( maana yangu anakusabahi) ataacha kabisa jua taa za hatari zimeanza kuwaka jua ndugu yangu unaaachwa kwenye mataaa.

  Dalili ya tano atatafuta vijisababu ili tu muachane, atakusingizia mara leo nimesikia upo na mtu fulani,mara kuna watu waniambia upo na mtu fulani na mna uhusiano wa kimapenzi.hiyo yote anatafuta sababu tu ili muachane au akishindwa hapo atatafuta sababu ndogo mgombane ili apate sababu ya kukuacha.
  Ndugu zangu muwe makini na watu wenye tabia nilizozitaja hapo juu na mkae nao kwa akili msije mkaja mkaliana kuumizwa mioyo.
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hizo mimi nilizijua tangu tumboni mwa mama yangu!
   
 3. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Huyo aliyekuacha kwa mbinu hzi ni bora angekuambia tu!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,385
  Trophy Points: 280
  not neccessarily!
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,187
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  hakuna kipya
  viko vingi tuu zaidi ya hivyo
  na haat huhitaji kuonyeshwa sign zote hizo ndo ujue umeachwa
   
 6. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  kwani kugusagusa simu ya mwenzio ni lazima,mi binafsi sifurahii..
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Haya,,,asante muungwana
   
 8. P

  Pejokiss Senior Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huo ni ukwel mtupu ndugu yangu kwan hata mm ilishantokea na sbabu zote hizo zilihusika
   
 9. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tunahita zingine maana hizo zinaeleweka kwa kila mmoja
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwenye kuweka simu password nakataaaa.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hivi umeacha mchezo kuweka password kwenye simu yako
   
 12. kokushoma

  kokushoma Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo sio jasiri!
   
 13. The Headmost

  The Headmost Senior Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Angalizo:akianza tu kuzioshesha dalili hizo,ni bora ukamlipua mapema kabla hajafanya hivo yeye....hapo utakua umeyagawa maumivu pasu kwa pasu...
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  sijaacha maana umezidi kujipunguzia vocha zangu.
   
 15. The Headmost

  The Headmost Senior Member

  #15
  Jul 28, 2014
  Joined: Aug 28, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  ..sawa..
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2014
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Tell me what l do not know
   
 17. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2014
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,177
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Kumbe huwa inakua namna hii
   
Loading...