Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Ibusai

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
40
Reaction score
4
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mnyaturu, maji ya kunde, nimehitimu degree in mining engineering. Namtafuta wa ubavu wangu awe mnyaturu,maji kunde, awe angalau mwl grade au diploma, umri kati ya miaka 20-25. Awe mkristo catholic. Kwa aliye serious anipm
 
Hebu tuondolee ujinga wako hapa, kama unataka mnyaturu mwenzako si uende kwenu Singida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom