levocatus mathius
Member
- Jul 25, 2014
- 52
- 3
Jaman habari zenu Wana JF,
Naitwa France jina halisi mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu ni miaka 26 ni mrefu wastani na ni mwembamba wastan rangi Yangu ni majikunde naishi Dar maeneo ya Africana Bagamoyo Road sijaoa bado bali niko hapa ktk uwanja huu ninatafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhatI.
Ambae anatafuta ufundi katika kuutendea haki mwili wake na kumfanya afurahie mapenz awe mnene mrefu rangi yoyote kabila lolote ila awe msafi mapenz kama hajui nitamfunza awe anajishughulisha awe huru asiwe mke Wa mtu manake mke Wa mtu sumu.
Awe tayari kuja ninapoishi kama ikiwezekana anitumie pic au anipm saizi umri kuanzia miaka 30 asiwe binti manake mabint ni stress tu hawajui kumuandaa mpenzi nimeamua kufanya lazima nifanye stokatishwa moyo kwa wale wachache msiopenda mapenzi kwa wenzenu.
Mimi nime jiajili binafsi kwa mawasiliano zaid kwa yule ataekua tayari ani pm then tupeane no za sim tuonane whatsap kama tutapendana na kuafikiana sawa asanteni sana hii ni kwa wanawake tuu