Exclusive: Wana MMU leo tujadiji maswali magumu.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,679
Reaction score
112,546
Kuumekuwa na kupazwa sauti kwa kina mama/wanawake wakitaka haki sawa 50 kwa 50 na kupinga kile kinachoitwa mfumo dume huku mfumo jike ukihimarishwa kwa kasi kubwa.

mimi katika uelewa wangu nafahamu tu baadhi ya wavumbuzi yaani watu walioumiza akili zao kuifanya dunia leo kufikia hapa ilipo sasa nina swali kwenu wadau je katika orodha ya wavumbuzi duniani kuna hata mwanamke mmoja aliwahi kuvumbuwa kitu? i mean yupo kwenye orodha ya wavumbuzi?

Naomba tujadili kwa kina, majibu ya mjadala huu ndio yatazaa thread nzito ambayo nimeiandaa na mtashangaa ni kwa nini lara 1 kwangu ageuzi kwa sababu nimegunduwa vidume wengi hapa hawazijuhi secret codes.

CC: lara 1 i love u honey am not here to insult u but to help some boys know how.

Mpwa Heaven on Earth sogea kipande hii, my Super dada King'asti usicheze mbali, poti wa kanda ya ziwa mwenzangu Kongosho pitia google kabisa ndio uje hapa, The Boss usicheze mbali, Ustaadh Swalehe tuitie Rais wa wabeba mabox kwenye Viber yake simpati yuko offline, Mtambuzi chukuwa liblary yako njoo hapa.

MCHUNGUZI HURU mbona hujawahi kuchunguza hili?
 
Last edited by a moderator:
haki sawa haiwezekani hizo ni mbwembwe za majukwaani tu. Ni kitu natural na iko beyond human control
 
T
Tuanze na huyu

Marie Curie :
Aligundua Radioactivity, aliishi na mume wake kwenye nyumba iliyokuwa na vitu vichache na vilivyozagaa kwa sababu alichukia sana kazi za ndani, sijui wakati huo kulikuwa hakuna watumishi wa ndani (House Girls)?

Wakati wakifanya shughuli zao za uchunguzi kuhusu radioactivity walikuwa wakiishi katika kibanda chao kilichokuwa na matundu, kiasi ambacho hata mvua ikinyesha maji yaliweza kuingia ndani.

Hawakuwa na fedha nyingi na mara nyingi walitumia fedha kidogo walizonazo kununua kahawa na kunywa kwa furaha, huku wakiota katika jiko lao la stovu. Marie Curie nae alijishindia tunzo mbili za Nobeli.

Wapo kiasi, ngoja wenye data waje kukumwagia. Women has the same intellectual abilities as men and probably more sema mgawanyo wa majukumu haukuwapa sana nafasi katika nyanja hizo. By the way kwani kuna wanaume wangapi ambao waliweza kuzaa na kulea familia ya watoto 10 kama wafanyavyo kinamama since time immemorial. Don't take malezi for granted especially malezi ya watoto 10+.
 
Mkuu unachanganya madesa hapa tunaongelea viumbe walioinvenst brain yao kuifanya Dunia kuwa sehemu bora ya kuishi, kulea watoto hata panya analea watoto wake,
 
T
Tuanze na huyu

Marie Curie :
Aligundua Radioactivity, aliishi na mume wake kwenye nyumba iliyokuwa na vitu vichache na vilivyozagaa kwa sababu alichukia sana kazi za ndani, sijui wakati huo kulikuwa hakuna watumishi wa ndani (House Girls)?

Wakati wakifanya shughuli zao za uchunguzi kuhusu radioactivity walikuwa wakiishi katika kibanda chao kilichokuwa na matundu, kiasi ambacho hata mvua ikinyesha maji yaliweza kuingia ndani.

Hawakuwa na fedha nyingi na mara nyingi walitumia fedha kidogo walizonazo kununua kahawa na kunywa kwa furaha, huku wakiota katika jiko lao la stovu. Marie Curie nae alijishindia tunzo mbili za Nobeli.

Ni vizuri kusoma kilichopo kabla hujachangia. Mkuu umeniwahi maana huyo ndio alikuja kichwani haraka
 
leteni thread laini laini, tupo na sikukuu wenzenu..
 
Kuumekuwa na kupazwa sauti kwa kina mama/wanawake wakitaka haki sawa 50 kwa 50 na kupinga kile kinachoitwa mfumo dume huku mfumo jike ukihimarishwa kwa kasi kubwa.

mimi katika uelewa wangu nafahamu tu baadhi ya wavumbuzi yaani watu walioumiza akili zao kuifanya dunia leo kufikia hapa ilipo sasa nina swali kwenu wadau je katika orodha ya wavumbuzi duniani kuna hata mwanamke mmoja aliwahi kuvumbuwa kitu? i mean yupo kwenye orodha ya wavumbuzi?

Naomba tujadili kwa kina, majibu ya mjadala huu ndio yatazaa thread nzito ambayo nimeiandaa na mtashangaa ni kwa nini lara 1 kwangu ageuzi kwa sababu nimegunduwa vidume wengi hapa hawazijuhi secret codes.

CC: lara 1 i love u honey am not here to insult u but to help some boys know how.

Mpwa Heaven on Earth sogea kipande hii, my Super dada King'asti usicheze mbali, poti wa kanda ya ziwa mwenzangu Kongosho pitia google kabisa ndio uje hapa, The Boss usicheze mbali, Ustaadh Swalehe tuitie Rais wa wabeba mabox kwenye Viber yake simpati yuko offline, Mtambuzi chukuwa liblary yako njoo hapa.

MCHUNGUZI HURU mbona hujawahi kuchunguza hili?

ukiimarishwa.

library.
 
This is only best you can do? nenda google kuna profesa kutoka Australia amegundua makosa 99 kwenye Oxford dictionary.

Waafrika tunaangaliaga mabaya tu, mazuri tunayasema kaburini, mwili ukiwa ndan ya jeneza,,,
 
Back
Top Bottom