Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,802
Imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa kihaya kama mpenzi kisha mume hususani wadada wa kichaga na kinyakyusa.

Pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO.

Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)
 
Mm baba yangu mnyakyusa Mama yangu Mhaya wa Izimbya-Bukoba Vijijini!

Mbona baba yangu Myakyusa alioa mama yangu Mhaya bana?
 
Weee mhaya wa 'Buzi'??

Utamu wa wahaya uko kwenye 'njoge' mbichi
.
 
acha sifa kijana, hizo sababu ulizozitaja mbona karibia kila kabila linazo sku hizi? Laada utaje sifa ya ziada
 
Khaa! Awa wahaya si ndio wale wanaouza mbunye buku jero = 1500/- Mjini hapa (Dar)

Afu naskia me zao rahisi kuibiwa! Yaani ukimpa misifa tu hata ya uongo naye anajua kabisa hizo sifa hana ila ataishia kuingia ktk 18!

Maajabu yao ni kwamba wengi wanajitia ulokole! Teh teh teh teh!
 
wachaga wameanza kusifia dada zao sasa wahaya wanajisifia wa haya sie wazaramo tuangalie tu
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)

Acha ulimbukeni. Katerero hata Wazungu wanaijua na ina Maelezo ya kisayansi inaenda endaje. Google Woman squirting uonyeshwe hata na video ya Maelezo ya kisayansi inavyotokea.
 
Ha ha ha mtu mzima ameamka 2 o'clock akaandika hii thread let me call you mzee wa katerero
 
934781_556588437717482_1501096353_n.jpg
 
Hahahahahhahahaha!!! Kweli wahaya wanapenda sifa za kijinga, yaani hii ndo asili yenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom