Heshima kwenu wakuu
Napenda kutanguliza shukran kwa member wote wa MMU. Hill jumba limepanuka sana kama sio kukua. Na mnapo kua kundi la watu haina budi kua na kiongozi. Mapendekezo yangu...
Nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri.
Jamani nifanyaje...
Kweli duniani hatupendani, juzi kati nimekaa na mtu wa nyanda za juu kusini tukapanga kuanzisha biashara ya kupika chakula kwenye sherehe mbalimbali.
Tukaweka mikakati kemkem na mipango mizuri...
Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.
Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men...
Nimekuwa najiuliza sana kwamba unaruhusiwa kugegeduana na mwanamke muda gan kabla ya kujifungua?......maana niliwahi kuambiwa kuwa eti hata cku moja kabla ni ruksa tu...sasa kwa mnaofahamu hebu...
Natafuta rafiki wa kike sister duu mwenye elimu, japo awe ameatend course yoyote, awe na account ya bank, anayejua lugha ya kiswahili na kiingereza,awe tayari kupima afya, awe mweupe lkn cyo kwa...
Habari za sasa wana jukwaa..
naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..
1. wanawake wanasheria..
2. wanawake wenye...
1. My son, if you keep spending on a woman and she never asked you if youre saving or investing, and she keeps enjoying the attention, dont marry her.
2. My son, a woman could be a good wife...
Kwakweli inasikitisha sana na inaumiza, unakuta mtu katafuta mchumba awe ni mwanamke au mwanaume mnaanzisha mawasiliano vizuri tu, cha ajabu mtu anakuwa hayuko serious kabisa.
Na kama unajikuta...
Habari za hapa wakuu.
Nimekaa nikatafakari sana bila majibu, Kuna wanawake unakutana nao unawasalimia hawajibu hata unapomtongoza hasomeki kabisa yaani ana majibu ya utata. Ukimsemesha anakuwa...
Inavunja moyo sana, ''Binadam Kaumbiwa Mateso'' lakini anastahili kupozwa. Mwenzio anajitutumua, kidogo alichopata kushea nawe. Ni kidogo lakini hata shukrani hakuna?
Wanibipu baada ya masaa 9...
Kulala pamoja?
Kufuliwa nguo na viatu?
Kupigiwa pasi?
Kuogeshwa?
Kuitwa mme/mke wangu?
Kulea watoto pamoja?
Or what?
Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may...
when the man is silent it is easy for the woman to imagine the worst
Women misinterpret a man's silence. Depending on how she feels that day, she may begin to imagine the worst- "He hates me...
"Nimeambukiza maelfu ya watu VVU katika jiji la Dar"
Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza...
Hali zenu wakuu,
mimi ninamke ambaye tumeoana kwa miaka mitano tunawatoto wawili. Tatizo kila tukitofautina kitu anasema atajiua kwani yeye yatima na atawaua watoto so that nianze upya na nitakaye...
Natafuta mchumba kutoka Tanga au mwenye asili ya pwani....
Nafahamu ni ngumu sana kupata mwenye mapenzi ya kweli kutoka mtandaoni..tuwasiliane hapo chini tuone tutafika waoi
Mawasiliano...
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.