figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,957
- 63,769
Mimi ni mgeni sana katika haya maswala ya Mapenzi yaani malavidavi. So nimeona sio vibaya nikija kuuliza hapa swali linalo nitatiza kwakuwa maswali mengi yanapata majibu ya uhakika hapa.
Naomba kueleweshwa, hivi unaponyonya maziwa huwa unanyonya kweli au unalambalamba tu? Rafiki yangu mkubwa YouTube nilimuuliza akanijibu eti "Mimi mambo ya kunywa maziwa hapana, napenda kushikashika tu" nikajiuliza, kumbe kuna ambao hadi wanakunywa!
Juzi kati nlitaka kujaribu ila nikastuka. Sababu ile naanza kujaribu nilihisi kama maziwa yanatoka, nikastuka kidogo, ikabidi nimuulize "Unanyonyesha?" Akasema hapana!. Nikamwambia subiri kwanza.
Hii kitu nataka nijue ni utaalam gani unatumika na mnyonywaji anapata raha gani. Jana nmeongea na mathematics akasema anapenda sana Hata data naye anapenda, lakini hawakufafanua kama wanapenda kulambalamba kunyonya au kishikashika, pia hawataki kufunguka vizuri. Mi nikagundua kumbe bado mshamba wa mapenzi kwa kutokujua kinachofanyika. Ntahakikisha najua nini ni nini one day.
Nasikia kuna wanawake hawapendi, ukitaka kunyonya wanakuambia "hapana, usiguse chakula cha watoto wangu". Unajua sisi watoto wa mwisho tumechelewa kuacha nyonyo so bado nakumbuka test ya nyonyo. Mfano nikikuta maziwa yanatoka nikang'ang'ania kunyonya yote kuna kosa?
But kabla nataka nijue, Je unatakiwa ulambe au unyonye kiukwelikweli? manake nisije kumkwaza mhusika.
Natanguliza shukrani kwa ufafanuzi wenu. Mia