Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari TUJADILI KWA UPENDO MARAFIKI Marafiki leo nimependa tujadiliane suala hili ambalo limeshawapata watu wengi wengi wamekuwa wahanga wa jambo hili kwani wanalaghaiwa na kutapeliwa kwa njia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
inaumiza sana tena sana unajitahidi kadri ya uwezo wako ufanikiwe lkn hakuna chochote ,miaka 32 sasa loo mafanikio cjui lini ukitazama wengi wenye umri huo wamepiga hatua jamani natafuta sumu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hili nimelishuhudia hivi karibuni kila harusi nayohudhuria zaidi ya tatu Bibi harusi tumbo ndi tena kuubwa. Au huu ni utaratibu mpya hadi uhakikishe kitu kimenasa ndio utangaze ndoa dunia ya leo...
0 Reactions
444 Replies
42K Views
  • Closed
kitambo ni dem wako na mmepanga kufunga ndoa hivi karibuni. Haaaamad kati ya post zake ukagundua ni yeye huyo huyo. utafanyaje
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu, habarini mimi ,wadau napenda kuwashirikisha vitu kadhaa ambavyo nimekuwa nikifanyia utafiti kuna baadhi ya watu walikuja na 6c na vitu kibao vyenye mrengo huo hapa jukwaani. wanaume...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Licha ya mimi humu kuwa mgeni mgeni nimekuwa mtu wa kusoma mengi yaliyomo humu na kujifunza mengi katika mahusiano,Japo sina girlfriend nimeamua kuja hapa ili nipate mawazo ya wengi kwa kuwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu. Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani...
5 Reactions
79 Replies
8K Views
Unajua mapenzi ni sanaa, basi inatakiwa kuwa mbunifu. Inajua moja ya vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake ni marashi ya kimahaba. Kuna aina ya marashi mwanamke akipiga lazima mwanaume...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Mapenzi yamtoa msichana wa kihindi katika familia ya kitajiri na kumpeleka kijijini kwa kijana mwafrika Kenya...... TAZAMA PICHA: Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Hii ndo link. Angalinei halafu mkimaliza muanzee kutoa mapovuu ha ha ha Mapenzi sio pesa, roho inatosha - BBC Swahili - Medianuai
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza. Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae. Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari. Anapenda ukimfungulia...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Ilikuwa kila tukianza yale mambo yetu anakuwa mpole sana, lakin ikifika katikati anachachamaa na kuwa kama mbogo aliyejeruhiwa. Ataning'ang'ania huyo...mara aning'ate shingoni...mara abane...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Jamani hebu nisaidieni, nina miaka 35, Sijaoa, na nina mtoto mmoja. Hadi leo naendekeza sana Puli( Punyeto). Nyumba ninayoishi hajawahi kuingia msichana, Wapangaji wenzangu hawanielewi kwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni tatzo kubwa kwenye mahusiano. Utakuta mwanaume anatumia muda mwing sana kumfikria kipenzi chake. Lakn mke afikrii kuhusu kpenz chake. Yan unaweza kumtumia fedha lakn hakujulsh kama kaipata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 .nina rafiki yangu ambaye tumek pamoja tangu utoto mpaka tunakuwa wakubwa na tulitokea kuzama ktk mapenzi baada ya kuwa wakubwa ingawa no sexual act have...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
unakua na mwanamke unamkuta na maisha yake mazuri na furaha tele!!! unamwambia unampenda na ahadi kibao mpaka kwenu unampeleka ikibidi hata anapoishi unamuamisha na kukufata wewe kama na kazi/...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Mpenzi wako wa kike anapokwambia you special tukumbuke kuna mitumba pia
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi. Tuliwasiliana kila siku ila kuna...
2 Reactions
216 Replies
14K Views
A Brazilian woman's life quickly turned into one of the worst when she reconnected with her biological mother and discovered she had a brother she had never known about. Unfortunately, she had...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Stage ya kwanza 1. Akiwa rafiki (unamfukuzia) hata kama...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom